Roman Script    Reciting key words            Previous Sūrah    Quraan Index    Home  

92) Sūrat Al-Layl

Printed format

92) سُورَة اللَيل

Toggle thick letters. Most people make the mistake of thickening thin letters in the words that have other (highlighted) thick letter Toggle to highlight thick letters خصضغطقظ رَ
Wa Al-Layli 'Idhā Yaghshá 1. Naapa kwa usiku unapo funika! وَ‌اللَّ‍‍يْ‍‍لِ ‌إِ‌ذَ‌ا‌ يَ‍‍غْ‍‍شَى
Wa An-Nahāri 'Idhā Tajallá 2. Na mchana unapo dhihiri! وَ‌ال‍‍نَّ‍‍ه‍‍َ‍ا‌ر‍ِ‍‌ ‌إِ‌ذَ‌ا‌ تَجَلَّى
Wa Mā Khalaqa Adh-Dhakara Wa Al-'Unthá 3. Na kwa Aliye umba dume na jike! وَمَا‌ خَ‍‍لَ‍‍قَ ‌ال‍‍ذَّكَ‍رَ‌ ‌وَ‌الأُ‌نْ‍‍ثَى
'Inna Sa`yakum Lashattá 4. Hakika juhudi zenu bila ya shaka ni mbali mbali. إِنَّ سَعْيَكُمْ لَشَتَّى
Fa'ammā Man 'A`ţá Wa Attaqá 5. Ama mwenye kutoa na akamchamngu, فَأَمَّ‍‍ا‌ مَ‍‌‍نْ ‌أَعْ‍‍طَ‍‍ى‌ ‌وَ‌اتَّ‍‍قَ‍‍ى
Wa Şaddaqa Bil-Ĥusná 6. Na akaliwafiki lilio jema, وَ‍صَ‍‍دَّ‍‍قَ بِ‍الْحُسْنَى
Fasanuyassiruhu Lilyusrá 7. Tutamsahilishia yawe mepesi. فَسَنُيَسِّرُهُ لِلْيُسْ‍رَ‌ى
Wa 'Ammā Man Bakhila Wa Astagh 8. Na ama mwenye kufanya ubakhili, na asiwe na وَ‌أَمَّ‍‍ا‌ مَ‍‌‍نْ بَ‍‍خِ‍‍لَ ‌وَ‌اسْتَ‍‍غْ‍‍نَى
Wa Kadhdhaba Bil-Ĥusná 9. Na akakanusha lilio jema, وَكَذَّبَ بِ‍الْحُسْنَى
Fasanuyassiruhu Lil`usrá 10. Tutamsahilishia yawe mazito! فَسَنُيَسِّرُهُ لِلْعُسْ‍رَ‌ى
Wa Mā Yughnī `Anhu Māluhu~ 'Idhā Taraddá 11. Na mali yake yatamfaa nini atapo kuwa anadidimia? وَمَا‌ يُ‍‍غْ‍‍نِي عَ‍‌‍نْ‍‍هُ مَالُهُ~ُ ‌إِ‌ذَ‌ا‌ تَ‍رَ‌د‍ّ‍َ‌ى
'Inna `Alaynā Lalhudá 12. Hakika ni juu yetu kuonyesha uwongofu. إِنَّ عَلَيْنَا‌ لَلْهُدَ‌ى
Wa 'Inna Lanā Lal'ākhirata Wa Al-'Ūlá 13. Na hakika ni yetu Sisi Akhera na dunia. وَ‌إِنَّ لَنَا‌ لَلآ‍‍خِ‍رَةَ ‌وَ‌الأ‍ُ‍‌ولَى
Fa'andhartukuman Talažžá 14. Basi nakuonyeni na Moto unao waka! فَأَ‌نْ‍‍ذَ‌رْتُكُمْ نَا‌ر‌ا‌‌ ً‌ تَلَ‍‍ظَّ‍‍ى
Lā Yaşlāhā 'Illā Al-'Ashqá 15. Hatauingia ila mwovu kabisa! لاَ‌ يَ‍‍صْ‍‍لاَهَ‍‍ا‌ ‌إِلاَّ‌ ‌الأَشْ‍‍قَ‍‍ى
Al-Ladhī Kadhdhaba Wa Tawallá 16. Anaye kadhibisha na kupa mgongo. الَّذِي كَذَّبَ ‌وَتَوَلَّى
Wa Sayujannabuhā Al-'Atqá 17. Na mchamngu ataepushwa nao, وَسَيُجَ‍‍نَّ‍‍بُهَا‌ ‌الأَتْ‍‍قَ‍‍ى
Al-Ladhī Yu'utī Mālahu Yatazakká 18. Ambaye hutoa mali yake kwa ajili ya kujitakasa. الَّذِي يُؤْتِي مَالَ‍‍هُ يَتَزَكَّى
Wa Mā Li'ĥadin `Indahu Min Ni`matin Tuj 19. Na wala si kwa kuwa yupo yeyote aliye mfanyia وَمَا‌ لِأحَدٍ‌ عِ‍‌‍نْ‍‍دَهُ مِ‍‌‍نْ نِعْمَة‌‍ٍ‌ تُ‍‍جْ‍‍زَ‌ى
'Illā Abtighā'a Wajhi Rabbihi Al-'A`lá 20. Ila ni kutaka radhi ya Mola wake Mlezi aliye إِلاَّ‌ ‌ابْ‍‍تِ‍‍غَ‍‍ا‌ءَ‌ ‌وَجْ‍‍هِ ‌‍رَبِّهِ ‌الأَعْلَى
Wa Lasawfa Yarđá 21. Naye atakuja ridhika!  وَلَسَ‍‍وْفَ يَرْ‍ضَ‍‍ى
Toggle thick letters. Most people make the mistake of thickening thin letters in the words that have other (highlighted) thick letter Toggle to highlight thick letters خصضغطقظ رَ
Next Sūrah