104) Sūrat Al-Humazah

Printed format

104) سُورَة الهُمَزَه

Waylun Likulli Humazatin Lumazahin 1. Ole wake kila safihi, msengenyaji! وَيْل ٌ لِكُلِّ هُمَزَة ٍ لُمَزَة ٍ
Al-Ladhī Jama`a Mālāan Wa `Addadahu 2. Aliye kusanya mali na kuyahisabu. الَّذِي جَمَعَ مَالا ً وَعَدَّدَهُ
Yaĥsabu 'Anna Mālahu 'Akhladahu 3. Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele! يَحْسَبُ أَنَّ مَالَهُ~ُ أَخْلَدَهُ
Kallā Layunbadhanna Fī Al-Ĥuţamahi 4. Hasha! Atavurumishwa katika H'ut'ama. كَلاَّ لَيُنْبَذَنَّ فِي الْحُطَمَةِ
Wa Mā 'Adrāka Mā Al-Ĥuţamahu 5. Na nani atakujuvya ni nini H'ut'ama? وَمَا أَدْرَاكَ مَا الْحُطَمَةُ
Nāru Allāhi Al-Mūqadahu 6. Moto wa Mwenyezi Mungu ulio washwa. نَارُ اللَّهِ الْمُوقَدَةُ
Allatī Taţţali`u `Alá Al-'Af'idahi 7. Ambao unapanda nyoyoni. الَّتِي تَطَّلِعُ عَلَى الأَفْئِدَةِ
'Innahā `Alayhim Mu'uşadahun 8. Hakika huo utafungiwa nao إِنَّهَا عَلَيْهِمْ مُؤصَدَة ٌ
Fī `Amadin Mumaddadahin 9. Kwenye nguzo zilio nyooshwa.  * فِي عَمَد ٍ مُمَدَّدَة ٍ
Next Sūrah