101) Sūrat Al-Qāri`ah

Printed format

101) سُورَة الْقَارِعَه

Al-Qāri`ahu 1. Inayo gonga! الْقَارِعَةُ
Al-Qāri`ahu 2. Nini Inayo gonga? مَا الْقَارِعَةُ
Wa Mā 'Adrāka Mā Al-Qāri`ahu 3. Na nini kitacho kujuilisha nini Inayo gonga? وَمَا أَدْرَاكَ مَا الْقَارِعَةُ
Yawma Yakūnu An-Nāsu Kālfarāshi Al-Mabthūthi 4. Siku ambayo watu watakuwa kama nondo walio tawanyika; يَوْمَ يَكُونُ النَّاسُ كَالْفَرَاشِ الْمَبْثُوثِ
Wa Takūnu Al-Jibālu Kāl`ihni Al-Manshi 5. Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa! وَتَكُونُ الْجِبَالُ كَالْعِهْنِ الْمَنفُوشِ
Fa'ammā Man Thaqulat Mawāzīnuhu 6. Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito, فَأَمَّا مَنْ ثَقُلَتْ مَوَازِينُهُ
Fahuwa Fī `Īshatin Rāđiyahin 7. Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza. فَهُوَ فِي عِيشَة ٍ رَاضِيَة ٍ
Wa 'Ammā Man Khaffat Mawāzīnuhu 8. Na yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu, وَأَمَّا مَنْ خَفَّتْ مَوَازِينُهُ
Fa'ummuhu Hāwiyahun 9. Huyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya! فَأُمُّه ُُ هَاوِيَة ٌ
Wa Mā 'Adrāka Mā Hiyah 10. Na nini kitacho kujuilisha nini hiyo? وَمَا أَدْرَاكَ مَا هِيَهْ
Nārun Ĥāmiyahun 11. Ni Moto mkali!  * نَارٌ حَامِيَة ٌ
Next Sūrah