Roman Script    Reciting key words            Previous Sūrah    Quraan Index    Home  

100) Sūrat Al-`Ādiyāt

Printed format

100) سُورَة الْعَادِيَات

Toggle thick letters. Most people make the mistake of thickening thin letters in the words that have other (highlighted) thick letter Toggle to highlight thick letters خصضغطقظ رَ
Wa Al-`Ādiyāti Đabĥāan 1. Naapa kwa farasi wendao mbio wakipumua, وَ‌الْعَا‌دِي‍‍َ‍اتِ ضَ‍‍بْ‍‍حاً
Fālmūriyāti Qadĥāan 2. Na wakitoa moto kwa kupiga kwato zao chini, فَالْمُو‌رِي‍‍َ‍اتِ قَ‍‍دْحاً
Fālmughīrāti Şubĥāan 3. Wakishambulia wakati wa asubuhi, فَالْمُ‍‍غِ‍‍يرَ‍‌اتِ صُ‍‍بْ‍‍حاً
Fa'atharna Bihi Naq`āan 4. Huku wakitimua vumbi, فَأَثَرْنَ بِ‍‍هِ نَ‍‍قْ‍‍عاً
Fawasaţna Bihi Jam`āan 5. Na wakijitoma kati ya kundi, فَوَسَ‍‍طْ‍‍نَ بِ‍‍هِ جَمْعاً
'Inna Al-'Insāna Lirabbihi Lakanūdun 6. Hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila kwa Mola wake Mlezi! إِنَّ ‌الإِ‌ن‍‍س‍‍َ‍انَ لِ‍رَبِّ‍‍هِ لَكَنُو‌دٌ
Wa 'Innahu `Alá Dhālika Lashahīdun 7. Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka ni shahidi wa hayo! وَ‌إِنَّ‍‍هُ عَلَى‌ ‌ذَلِكَ لَشَهِيدٌ
Wa 'Innahu Liĥubbi Al-Khayri Lashadīdun 8. Naye hakika bila ya shaka ana nguvu za kupenda mali! وَ‌إِنَّ‍‍هُ لِحُبِّ ‌الْ‍‍خَ‍‍يْ‍‍ر‍ِ‍‌ لَشَدِيدٌ
'Afalā Ya`lamu 'Idhā Bu`thira Mā Fī Al-Qubūri 9. Kwani hajui watakapo fufuliwa waliomo makaburini? أَفَلاَ‌ يَعْلَمُ ‌إِ‌ذَ‌ا‌ بُعْثِ‍‍ر‍َ‍‌ مَا‌ فِي ‌الْ‍‍قُ‍‍بُو‌رِ
Wa Ĥuşşila Mā Fī Aş-Şudūri 10. Na yakakusanywa yaliomo vifuani? وَحُ‍صِّ‍‍لَ مَا‌ فِي ‌ال‍‍صُّ‍‍دُ‌و‌رِ
'Inna Rabbahum Bihim Yawma'idhin Lakhabīrun 11. Kuwa hakika Mola wao Mlezi siku hiyo bila ya shaka atakuwa na khabari zao wote!  إِنَّ ‌‍رَبَّهُمْ بِهِمْ يَوْمَئِذ‌ٍ‌ لَ‍‍خَ‍‍بِيرٌ
Toggle thick letters. Most people make the mistake of thickening thin letters in the words that have other (highlighted) thick letter Toggle to highlight thick letters خصضغطقظ رَ
Next Sūrah