96) Sūrat Al-`Alaq

Printed format

96) سُورَة العَلَق

Aqra' Biāsmi Rabbika Al-Ladhī Khalaqa 1. Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba, اقْرَأْ بِاسْمِ رَبِّكَ الَّذِي خَلَقَ
Khalaqa Al-'Insāna Min `Alaqin 2. Amemuumba binaadamu kwa tone la damu, خَلَقَ الإِنسَانَ مِنْ عَلَق ٍ
Aqra' Wa Rabbuka Al-'Akramu 3. Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote! اقْرَأْ وَرَبُّكَ الأَكْرَمُ
Al-Ladhī `Allama Bil-Qalami 4. Ambaye amefundisha kwa kalamu. الَّذِي عَلَّمَ بِالْقَلَمِ
`Allama Al-'Insāna Mā Lam Ya`lam 5. Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui. عَلَّمَ الإِنسَانَ مَا لَمْ يَعْلَمْ
Kallā 'Inna Al-'Insāna Layaţghá 6. Kwani! Hakika mtu bila ya shaka huwa jeuri كَلاَّ إِنَّ الإِنسَانَ لَيَطْغَى
'An Ra'āhu Astaghná 7. Akijiona katajirika. أَنْ رَآهُ اسْتَغْنَى
'Inna 'Ilá Rabbika Ar-Ruj 8. Hakika kwa Mola wako Mlezi ndio marejeo. إِنَّ إِلَى رَبِّكَ الرُّجْعَى
'Ara'ayta Al-Ladhī Yanhá 9. Umemwona yule anaye mkataza أَرَأَيْتَ الَّذِي يَنْهَى
`Abdāan 'Idhā Şallá 10. Mja anapo sali? عَبْدا ً إِذَا صَلَّى
'Ara'ayta 'In Kāna `Alá Al-Hudá 11. Umeona kama yeye yuko juu ya uwongofu? أَرَأَيْتَ إِنْ كَانَ عَلَى الْهُدَى
'Aw 'Amara Bit-Taq 12. Au anaamrisha uchamngu? أَوْ أَمَرَ بِالتَّقْوَى
'Ara'ayta 'In Kadhdhaba Wa Tawallá 13. Umeona kama yeye akikanusha na anarudi nyuma? أَرَأَيْتَ إِنْ كَذَّبَ وَتَوَلَّى
'Alam Ya`lam Bi'anna Allāha Yará 14. Hajui ya kwamba Mwenyezi Mungu anaona? أَلَمْ يَعْلَمْ بِأَنَّ اللَّهَ يَرَى
Kallā La'in Lam Yantahi Lanasfa`ā Bin-Nāşiyahi 15. Kwani! Kama haachi, tutamkokota kwa shungi la nywele! كَلاَّ لَئِنْ لَمْ يَنْتَه ِِ لَنَسْفَعَا بِالنَّاصِيَةِ
Nāşiyatindhibatin Khāţi'ahin 16. Shungi la uwongo, lenye makosa! نَاصِيَة ٍ كَاذِبَةٍ خَاطِئَة ٍ
Falyad`u Nādiyah 17. Basi na awaite wenzake! فَلْيَدْعُ نَادِيَه
Sanad`u Az-Zabāniyaha 18. Nasi tutawaita Mazabania! سَنَدْعُ الزَّبَانِيَةَ
Kallā Lā Tuţi`hu Wa Asjudqtarib 19. Hasha! Usimt'ii! Nawe sujudu na ujongee!  * كَلاَّ لاَ تُطِعْهُ وَاسْجُدْ وَاقْتَرِبْ
Next Sūrah