26) Sūrat Ash-Shu`arā'

Printed format

26) سُورَة الشُعَرَاء

Ţā-Sīn-Mīm 1. T'aa Siin Miim. (T'.S.M.) طَا-سِين-مِيم
Tilka 'Āyātu Al-Kitābi Al-Mubīni 2. Hizi ni Aya za Kitabu kinacho bainisha. تِلْكَ آيَاتُ الْكِتَابِ الْمُبِينِ
La`allaka Bākhi`un Nafsaka 'Allā Yakūnū Mu'uminīna 3. Huenda labda ukajikera nafsi yako kwa kuwa hawawi Waumini. لَعَلَّكَ بَاخِع ٌ نَفْسَكَ أَلاَّ يَكُونُوا مُؤْمِنِينَ
'In Nasha' Nunazzil `Alayhim Mina As-Samā'i 'Āyatan Fažallat 'A`nāquhum Lahā Khāđi`īna 4. Tunge penda tungeli wateremshia kutoka mbinguni Ishara zikanyenyekea shingo zao. إِنْ نَشَأْ نُنَزِّلْ عَلَيْهِمْ مِنَ السَّمَاءِ آيَة ً فَظَلَّتْ أَعْنَاقُهُمْ لَهَا خَاضِعِينَ
Wa Mā Ya'tīhim Min Dhikrin Mina Ar-Raĥmāni Muĥdathin 'Illā Kānū `Anhu Mu`rīna 5. Wala hauwafikii ukumbusho mpya kutoka kwa Arrahman ila wao hujitenga nao. وَمَا يَأْتِيهِمْ مِنْ ذِكْر ٍ مِنَ الرَّحْمَنِ مُحْدَث ٍ إِلاَّ كَانُوا عَنْهُ مُعْرِضِينَ
Faqad Kadhdhabū Fasaya'tīhim 'Anbā'u Mā Kānū Bihi Yastahzi'ūn 6. Kwa yakini wamekanusha; kwa hivyo zitakuja wafikia khabari za yale waliyo kuwa wakiyafanyia mzaha. فَقَدْ كَذَّبُوا فَسَيَأْتِيهِمْ أَنْبَاءُ مَا كَانُوا بِه ِِ يَسْتَهْزِئُون
'Awalam Yaraw 'Ilá Al-'Arđi Kam 'Anbatnā Fīhā Min Kulli Zawjin Karīmin 7. Je! Hawakuiona ardhi, mimea mingapi tumeiotesha humo, ya kila namna nzuri? أَوَلَمْ يَرَوْا إِلَى الأَرْضِ كَمْ أَنْبَتْنَا فِيهَا مِنْ كُلِّ زَوْج ٍ كَرِيم ٍ
'Inna Fī Dhālika La'āyatan Wa Mā Kāna 'Aktharuhum Mu'uminīna 8. Hakika katika haya zipo Ishara. Lakini wengi wao hawakuwa wenye kuamini. إِنَّ فِي ذَلِكَ لَآيَة ً وَمَا كَانَ أَكْثَرُهُمْ مُؤْمِنِينَ
Wa 'Inna Rabbaka Lahuwa Al-`Azīzu Ar-Raĥīmu 9. Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Yeye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu. وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ الْعَزِيزُ الرَّحِيمُ
Wa 'Idh Nādá Rabbuka Mūsá 'Ani A'ti Al-Qawma Až-Žālimīna 10. Na Mola wako Mlezi, alipo mwita Musa, akamwambia: Fika kwa watu madhaalimu, وَإِذْ نَادَى رَبُّكَ مُوسَى أَنِ ائْتِ الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ
Qawma Fir`awna 'Alā Yattaqūna 11. Watu wa Firauni. Hawaogopi? قَوْمَ فِرْعَوْنَ أَلاَ يَتَّقُونَ
Qāla Rabbi 'Innī 'Akhāfu 'An Yukadhdhibūni 12. Akasema: Hakika mimi nachelea wasinikanushe. قَالَ رَبِّ إِنِّي أَخَافُ أَنْ يُكَذِّبُونِ
Wa Yađīqu Şadrī Wa Lā Yanţaliqu Lisānī Fa'arsil 'Ilá Hārūna 13. Na kifua changu kina dhiki, na ulimi wangu haukunjuki vyema. Basi mtumie ujumbe Harun. وَيَضِيقُ صَدْرِي وَلاَ يَنْطَلِقُ لِسَانِي فَأَرْسِلْ إِلَى هَارُونَ
Wa Lahum `Alayya Dhanbun Fa'akhāfu 'An Yaqtulūni 14. Na wao wana kisasi juu yangu, kwa hivyo naogopa wasije kuniuwa. وَلَهُمْ عَلَيَّ ذَنْب ٌ فَأَخَافُ أَنْ يَقْتُلُونِ
Qāla Kallā Fādh/habā Bi'āyātinā 'Innā Ma`akum Mustami`ūna 15. Akasema: Siyo hivyo kabisa! Nendeni na miujiza yetu. Hakika Sisi tu pamoja nanyi, tunasikiliza. قَالَ كَلاَّ فَاذْهَبَا بِآيَاتِنَا إِنَّا مَعَكُمْ مُسْتَمِعُونَ
Fa'tiyā Fir`awna Faqūlā 'Innā Rasūlu Rabbi Al-`Ālamīna 16. Basi mfikieni Firauni na mwambieni: Hakika sisi ni Mitume wa Mola Mlezi wa walimwengu wote. فَأْتِيَا فِرْعَوْنَ فَقُولاَ إِنَّا رَسُولُ رَبِّ الْعَالَمِينَ
'An 'Arsil Ma`anā Banī 'Isrā'īla 17. Waachilie Wana wa Israili wende nasi. أَنْ أَرْسِلْ مَعَنَا بَنِي إِسْرَائِيلَ
Qāla 'Alam Nurabbika Fīnā Walīdāan Wa Labithta Fīnā Min `Umurika Sinīna 18. (Firauni) akasema: Sisi hatukukulea wewe utotoni, na ukakaa kwetu katika umri wako miaka mingi? قَالَ أَلَمْ نُرَبِّكَ فِينَا وَلِيدا ً وَلَبِثْتَ فِينَا مِنْ عُمُرِكَ سِنِينَ
Wa Fa`alta Fa`lataka Allatī Fa`alta Wa 'Anta Mina Al-Kāfirīna 19. Na ukatenda kitendo chako ulicho tenda, nawe ukawa miongoni mwa wasio na shukrani? وَفَعَلْتَ فَعْلَتَكَ الَّتِي فَعَلْتَ وَأَنْتَ مِنَ الْكَافِرِينَ
Qāla Fa`altuhā 'Idhāan Wa 'Anā Mina Ađ-Đāllīn 20. (Musa) akasema: Nilitenda hayo hapo nilipo kuwa miongoni mwa wale walio potea. قَالَ فَعَلْتُهَا إِذا ً وَأَنَا مِنَ الضَّالِّين
Fafarartu Minkum Lammā Khiftukum Fawahaba Lī Rabbī Ĥukmāan Wa Ja`alanī Mina Al-Mursalīna 21. Basi nikakukimbieni nilipo kuogopeni, tena Mola wangu Mlezi akanitunukia hukumu, na akanijaalia niwe miongoni mwa Mitume. فَفَرَرْتُ مِنْكُمْ لَمَّا خِفْتُكُمْ فَوَهَبَ لِي رَبِّي حُكْما ً وَجَعَلَنِي مِنَ الْمُرْسَلِينَ
Wa Tilka Ni`matun Tamunnuhā `Alayya 'An `Abbadta Banī 'Isrā'īla 22. Na hiyo ndiyo neema ya kunisumbulia, na wewe umewatia utumwani Wana wa Israili? وَتِلْكَ نِعْمَة ٌ تَمُنُّهَا عَلَيَّ أَنْ عَبَّدْتَ بَنِي إِسْرَائِيلَ
Qāla Fir`awnu Wa Mā Rabbu Al-`Ālamīna 23. Firauni akasema: Na nani huyo Mola Mlezi wa walimwengu wote? قَالَ فِرْعَوْنُ وَمَا رَبُّ الْعَالَمِينَ
Qāla Rabbu As-Samāwāti Wa Al-'Arđi Wa Mā Baynahumā 'In Kuntum Mūqinīna 24. Akasema: Ndiye Mola Mlezi wa mbingu na ardhi, na viliomo baina yao, ikiwa nyinyi ni wenye yakini. قَالَ رَبُّ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا إنْ كُنتُمْ مُوقِنِينَ
Qāla Liman Ĥawlahu 'Alā Tastami`ūna 25. (Firauni) akawaambia walio mzunguka: Hamsikilizi? قَالَ لِمَنْ حَوْلَهُ~ُ أَلاَ تَسْتَمِعُونَ
Qāla Rabbukum Wa Rabbu 'Ābā'ikumu Al-'Awwalīna 26. (Musa) akasema: Ndiye Mola wenu Mlezi, na Mola Mlezi wa baba zenu wa kwanza. قَالَ رَبُّكُمْ وَرَبُّ آبَائِكُمُ الأَوَّلِينَ
Qāla 'Inna Rasūlakumu Al-Ladhī 'Ursila 'Ilaykum Lamajnūnun 27. (Firauni) akasema: Hakika huyu Mtume wenu aliye tumwa kwenu ni mwendawazimu. قَالَ إِنَّ رَسُولَكُمُ الَّذِي أُرْسِلَ إِلَيْكُمْ لَمَجْنُون ٌ
Qāla Rabbu Al-Mashriqi Wa Al-Maghribi Wa Mā Baynahumā 'In Kuntum Ta`qilūna 28. (Musa) akasema: Ndiye Mola Mlezi wa Mashariki na Magharibi na viliomo baina yao, ikiwa nyinyi mnatia akilini. قَالَ رَبُّ الْمَشْرِقِ وَالْمَغْرِبِ وَمَا بَيْنَهُمَا إِنْ كُنْتُمْ تَعْقِلُونَ
Qāla La'ini Attakhadhta 'Ilahāan Ghayrī La'aj`alannaka Mina Al-Masjūnīna 29. (Firauni) akasema: Ukimfuata mungu mwengine asiye kuwa mimi, basi bila ya shaka nitakufunga gerezani. قَالَ لَئِنِ اتَّخَذْتَ إِلَهَاً غَيْرِي لَأَجْعَلَنَّكَ مِنَ الْمَسْجُونِينَ
Qāla 'Awalaw Ji'tuka Bishay'in Mubīnin 30. Akasema: Je! Ijapo kuwa nitakuletea kitu cha kubainisha wazi? قَالَ أَوَلَوْ جِئْتُكَ بِشَيْء ٍ مُبِين ٍ
Qāla Fa'ti Bihi 'In Kunta Mina Aş-Şādiqīna 31. Akasema: Kilete basi, kama wewe ni katika wasemao kweli. قَالَ فَأْتِ بِهِ~ِ إِنْ كُنْتَ مِنَ الصَّادِقِينَ
Fa'alqá `Aşāhu Fa'idhā Hiya Thu`bānun Mubīnun 32. Basi akaitupa fimbo yake, mara ikawa nyoka wa kuonekana dhaahiri. فَأَلْقَى عَصَاه ُُ فَإِذَا هِيَ ثُعْبَان ٌ مُبِين ٌ
Wa Naza`a Yadahu Fa'idhā Hiya Bayđā'u Lilnnāžirīna 33. Na akautoa mkono wake, na mara ukawa mweupe kwa watazamao. وَنَزَعَ يَدَه ُُ فَإِذَا هِيَ بَيْضَاءُ لِلنَّاظِرِينَ
Qāla Lilmala'i Ĥawlahu 'Inna Hādhā Lasāĥirun `Alīmun 34. (Firauni) akawaambia waheshimiwa walio mzunguka: Hakika huyu ni mchawi mtaalamu. قَالَ لِلْمَلَإِ حَوْلَهُ~ُ إِنَّ هَذَا لَسَاحِرٌ عَلِيم ٌ
Yurīdu 'An Yukhrijakum Min 'Arđikum Bisiĥrihi Famādhā Ta'murūna 35. Anataka kukutoeni katika nchi yenu kwa uchawi wake. Basi mna shauri gani? يُرِيدُ أَنْ يُخْرِجَكُمْ مِنْ أَرْضِكُمْ بِسِحْرِه ِِ فَمَاذَا تَأْمُرُونَ
Qālū 'Arjihi Wa 'Akhāhu Wa Ab`ath Al-Madā'ini Ĥāshirīna 36. Wakasema: Mpe muda yeye na nduguye na uwatume mijini wapigao mbiu ya mgambo. قَالُوا أَرْجِه ِِ وَأَخَاه ُُ وَابْعَثْ فِي الْمَدَائِنِ حَاشِرِينَ
Ya'tūka Bikulli Saĥĥārin `Alīmin 37. Wakuletee kila mchawi bingwa mtaalamu. يَأْتُوكَ بِكُلِّ سَحَّارٍ عَلِيم ٍ
Fajumi`a As-Saĥaratu Limīqāti Yawmin Ma`lūmin 38. Basi wakakusanywa wachawi wakati na siku maalumu. فَجُمِعَ السَّحَرَةُ لِمِيقَاتِ يَوْم ٍ مَعْلُوم ٍ
Wa Qīla Lilnnāsi Hal 'Antum Mujtami`ūna 39. Na watu wakaambiwa: Je! Mtakusanyika? وَقِيلَ لِلنَّاسِ هَلْ أَنْتُمْ مُجْتَمِعُونَ
La`allanā Nattabi`u As-Saĥarata 'In Kānū Humu Al-Ghālibīna 40. Huenda tutawafuata wachawi wakiwa wao ndio watakao shinda. لَعَلَّنَا نَتَّبِعُ السَّحَرَةَ إِنْ كَانُوا هُمُ الْغَالِبِينَ
Falammā Jā'a As-Saĥaratu Qālū Lifir`awna 'A'inna Lanā La'ajrāan 'In Kunnā Naĥnu Al-Ghālibīna 41. Basi walipo kuja wachawi wakamwambia Firauni: Je! Tutapata ujira tukiwa sisi ndio tulio shinda? فَلَمَّا جَاءَ السَّحَرَةُ قَالُوا لِفِرْعَوْنَ أَئِنَّ لَنَا لَأَجْرا ً إِنْ كُنَّا نَحْنُ الْغَالِبِينَ
Qāla Na`am Wa 'Innakum 'Idhāan Lamina Al-Muqarrabīna 42. Naam! Na hakika mtakuwa katika watu wa mbele. قَالَ نَعَمْ وَإِنَّكُمْ إِذا ً لَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ
Qāla Lahum Mūsá 'Alqū Mā 'Antum Mulqūna 43. Musa akwaambia: Tupeni mnavyo taka kutupa. قَالَ لَهُمْ مُوسَى أَلْقُوا مَا أَنْتُمْ مُلْقُونَ
Fa'alqaw Ĥibālahum Wa `Işīyahum Wa Qālū Bi`izzati Fir`awna 'Innā Lanaĥnu Al-Ghālibūna 44. Basi wakatupa kamba zao na fimbo zao, na wakasema: Kwa nguvu za Firauni hakika sisi hapana shaka ni wenye kushinda. فَأَلْقَوْا حِبَالَهُمْ وَعِصِيَّهُمْ وَقَالُوا بِعِزَّةِ فِرْعَوْنَ إِنَّا لَنَحْنُ الْغَالِبُونَ
Fa'alqá Mūsá `Aşāhu Fa'idhā Hiya Talqafu Mā Ya'fikūna 45. Musa tena akatupa fimbo yake, nayo mara ikavimeza walivyo vizua. فَأَلْقَى مُوسَى عَصَاه ُُ فَإِذَا هِيَ تَلْقَفُ مَا يَأْفِكُونَ
Fa'ulqiya As-Saĥaratu Sājidīna 46. Hapo wachawi walipinduka wakasujudu. فَأُلْقِيَ السَّحَرَةُ سَاجِدِينَ
Qālū 'Āmannā Birabbi Al-`Ālamīna 47. Wakasema: Tunamuamini Mola Mlezi wa walimwengu wote. قَالُوا آمَنَّا بِرَبِّ الْعَالَمِينَ
Rabbi Mūsá Wa Hārūna 48. Mola Mlezi wa Musa na Harun. رَبِّ مُوسَى وَهَارُونَ
Qāla 'Āmantum Lahu Qabla 'An 'Ādhana Lakum 'Innahu Lakabīrukumu Al-Ladhī `Allamakumu As-Siĥra Falasawfa Ta`lamūna La'uqaţţi`anna 'Aydiyakum Wa 'Arjulakum Min Khilāfin Wa La'uşallibannakum 'Ajma`īna 49. (Firauni) akasema: Je! Mmemuamini kabla sijakuruhusuni? Bila ya shaka yeye basi ndiye mkubwa wenu aliye kufunzeni uchawi. Basi mtakuja jua! Nitakata mikono yenu na miguu yenu kwa kutafautisha. Na nitakubandikeni misalabani nyote. قَالَ آمَنْتُمْ لَه ُُ قَبْلَ أَنْ آذَنَ لَكُمْ إِنَّه ُُ لَكَبِيرُكُمُ الَّذِي عَلَّمَكُمُ السِّحْرَ فَلَسَوْفَ تَعْلَمُونَ لَأُقَطِّعَنَّ أَيْدِيَكُمْ وَأَرْجُلَكُمْ مِنْ خِلاَف ٍ وَلَأُصَلِّبَنَّكُمْ أَجْمَعِينَ
Qālū Lā Đayra 'Innā 'Ilá Rabbinā Munqalibūna 50. Wakasema: Haidhuru, kwani sisi ni wenye kurejea kwa Mola wetu Mlezi. قَالُوا لاَ ضَيْرَ إِنَّا إِلَى رَبِّنَا مُنْقَلِبُونَ
'Innā Naţma`u 'An Yaghfira Lanā Rabbunā Khaţāyānā 'An Kunnā 'Awwala Al-Mu'uminīna 51. Hakika sisi tunatumai Mola wetu Mlezi atatusamehe makosa yetu, kwa kuwa ndio wa kwanza wa kuamini. إِنَّا نَطْمَعُ أَنْ يَغْفِرَ لَنَا رَبُّنَا خَطَايَانَا أَنْ كُنَّا أَوَّلَ الْمُؤْمِنِينَ
Wa 'Awĥaynā 'Ilá Mūsá 'An 'Asri Bi`ibādī 'Innakum Muttaba`ūna 52. Na tulimuamrisha Musa kwa wahyi: Nenda na waja wangu wakati wa usiku. Kwa hakika mtafuatwa. وَأَوْحَيْنَا إِلَى مُوسَى أَنْ أَسْرِ بِعِبَادِي إِنَّكُمْ مُتَّبَعُونَ
Fa'arsala Fir`awnu Fī Al-Madā'ini Ĥāshirīna 53. Basi Firauni akawatuma mijini wapiga mbiu za mgambo. فَأَرْسَلَ فِرْعَوْنُ فِي الْمَدَائِنِ حَاشِرِينَ
'Inna Hā'uulā' Lashirdhimatun Qalīlūna 54. (Wakieneza): Hakika hawa ni kikundi kidogo. إِنَّ هَاؤُلاَء لَشِرْذِمَة ٌ قَلِيلُونَ
Wa 'Innahum Lanā Laghā'ižūna 55. Nao wanatuudhi. وَإِنَّهُمْ لَنَا لَغَائِظُونَ
Wa 'Innā Lajamī`un Ĥādhirūna 56. Na sisi ni wengi, wenye kuchukua hadhari. وَإِنَّا لَجَمِيعٌ حَاذِرُونَ
Fa'akhrajnāhum Min Jannātin Wa `Uyūnin 57. Basi tukawatoa katika mabustani na chemchem, فَأَخْرَجْنَاهُمْ مِنْ جَنَّات ٍ وَعُيُون ٍ
Wa Kunūzin Wa Maqāmin Karīmin 58. Na makhazina, na vyeo vya hishima, وَكُنُوز ٍ وَمَقَام ٍ كَرِيم ٍ
Kadhālika Wa 'Awrathnāhā Banī 'Isrā'īla 59. Kadhaalika; na tukawarithisha hayo Wana wa Israili. كَذَلِكَ وَأَوْرَثْنَاهَا بَنِي إِسْرَائِيلَ
Fa'atba`ūhum Mushriqīna 60. Basi wakawafuata lilipo chomoza jua. فَأَتْبَعُوهُمْ مُشْرِقِينَ
Falammā Tarā'á Al-Jam`āni Qāla 'Aşĥābu Mūsá 'Innā Lamudrakūna 61. Na yalipo onana majeshi mawili haya, watu wa Musa wakasema: Hakika sisi bila ya shaka tumepatikana! فَلَمَّا تَرَاءَى الْجَمْعَانِ قَالَ أَصْحَابُ مُوسَى إِنَّا لَمُدْرَكُونَ
Qāla Kallā 'Inna Ma`iya Rabbī Sayahdīni 62. (Musa) akasema: Hasha! Hakika yu pamoja nami Mola wangu Mlezi. Yeye ataniongoa! قَالَ كَلاَّ إِنَّ مَعِيَ رَبِّي سَيَهْدِينِ
Fa'awĥaynā 'Ilá Mūsá 'Ani Ađrib Bi`aşāka Al-Baĥra Fānfalaqa Fakāna Kullu Firqin Kālţţawdi Al-`Ažīmi 63. Tulimletea wahyi Musa tukamwambia: Piga bahari kwa fimbo yako. Basi ikatengana, na kila sehemu ikawa kama mlima mkubwa. فَأَوْحَيْنَا إِلَى مُوسَى أَنِ اضْرِبْ بِعَصَاكَ الْبَحْرَ فَانفَلَقَ فَكَانَ كُلُّ فِرْق ٍ كَالطَّوْدِ الْعَظِيمِ
Wa 'Azlafnā Thamma Al-'Ākharīna 64. Na tukawajongeza hapo wale wengine. وَأَزْلَفْنَا ثَمَّ الآخَرِينَ
Wa 'Anjaynā Mūsá Wa Man Ma`ahu 'Ajma`īna 65. Tukawaokoa Musa na walio kuwa pamoja naye wote. وَأَنْجَيْنَا مُوسَى وَمَنْ مَعَهُ~ُ أَجْمَعِينَ
Thumma 'Aghraq Al-'Ākharīna 66. Kisha tukawazamisha hao wengine. ثُمَّ أَغْرَقْنَا الآخَرِينَ
'Inna Fī Dhālika La'āyatan Wa Mā Kāna 'Aktharuhum Mu'uminīna 67. Hakika bila ya shaka katika hayo ipo Ishara; lakini wengi wao si katika wenye kuamini. إِنَّ فِي ذَلِكَ لَآيَة ً وَمَا كَانَ أَكْثَرُهُمْ مُؤْمِنِينَ
Wa 'Inna Rabbaka Lahuwa Al-`Azīzu Ar-Raĥīmu 68. Na kwa hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu. وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ الْعَزِيزُ الرَّحِيمُ
Wa Atlu `Alayhim Naba'a 'Ibrāhīma 69. Na wasomee khabari za Ibrahim. وَاتْلُ عَلَيْهِمْ نَبَأَ إِبْرَاهِيمَ
'Idh Qāla Li'abīhi Wa Qawmihi Mā Ta`budūna 70. Alipo mwambia baba yake na kaumu yake: Mnaabudu nini? إِذْ قَالَ لِأَبِيه ِِ وَقَوْمِه ِِ مَا تَعْبُدُونَ
Qālū Na`budu 'Aşnāmāan Fanažallu Lahā `Ākifīna 71. Wakasema: Tunaabudu masanamu, daima tunayanyenyekea. قَالُوا نَعْبُدُ أَصْنَاما ً فَنَظَلُّ لَهَا عَاكِفِينَ
Qāla Hal Yasma`ūnakum 'Idh Tad`ūna 72. Akasema: Je! Yanakusikieni mnapo yaita? قَالَ هَلْ يَسْمَعُونَكُمْ إِذْ تَدْعُونَ
'Aw Yanfa`ūnakum 'Aw Yađurrūna 73. Au yanakufaeni, au yanakudhuruni? أَوْ يَنْفَعُونَكُمْ أَوْ يَضُرُّونَ
Qālū Bal Wajadnā 'Ābā'anā Kadhālika Yaf`alūna 74. Wakasema: Bali tumewakuta baba zetu wakifanya hivyo hivyo. قَالُوا بَلْ وَجَدْنَا آبَاءَنَا كَذَلِكَ يَفْعَلُونَ
Qāla 'Afara'aytum Mā Kuntum Ta`budūna 75. Je! Mmewaona hawa mnao waabudu- قَالَ أَفَرَأَيْتُمْ مَا كُنْتُمْ تَعْبُدُونَ
'Antum Wa 'Ābā'uukumu Al-'Aqdamūna 76. Nyinyi na baba zenu wa zamani? أَنْتُمْ وَآبَاؤُكُمُ الأَقْدَمُونَ
Fa'innahum `Adūwun Lī 'Illā Rabba Al-`Ālamīna 77. Kwani hakika hao ni adui zangu, isipo kuwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. فَإِنَّهُمْ عَدُوّ ٌ لِي إِلاَّ رَبَّ الْعَالَمِينَ
Al-Ladhī Khalaqanī Fahuwa Yahdīni 78. Ambaye ndiye aliye niumba, na Yeye ndiye ananiongoa, الَّذِي خَلَقَنِي فَهُوَ يَهْدِينِ
Wa Al-Ladhī Huwa Yuţ`imunī Wa Yasqīni 79. Na ambaye ndiye ananilisha na kuninywesha. وَالَّذِي هُوَ يُطْعِمُنِي وَيَسْقِينِ
Wa 'Idhā Mariđtu Fahuwa Yashfīni 80. Na ninapo ugua ni Yeye ndiye anaye niponesha. وَإِذَا مَرِضْتُ فَهُوَ يَشْفِينِ
Wa Al-Ladhī Yumītunī Thumma Yuĥyīni 81. Na ambaye atanifisha, na kisha atanihuisha. وَالَّذِي يُمِيتُنِي ثُمَّ يُحْيِينِ
Wa Al-Ladhī 'Aţma`u 'An Yaghfira Lī Khī'atī Yawma Ad-Dīni 82. Na ambaye ndiye ninaye mtumai kunisamehe makosa yangu Siku ya Malipo. وَالَّذِي أَطْمَعُ أَنْ يَغْفِرَ لِي خَطِيئَتِي يَوْمَ الدِّينِ
Rabbi Hab Lī Ĥukmāan Wa 'Alĥiqnī Biş-Şāliĥīna 83, Mola wangu Mlezi! Nitunukie hukumu na uniunganishe na watendao mema. رَبِّ هَبْ لِي حُكْما ً وَأَلْحِقْنِي بِالصَّالِحِينَ
Wa Aj`al Lī Lisāna Şidqin Al-'Ākhirīna 84. Na unijaalie nitajwe kwa wema na watu watakao kuja baadaye. وَاجْعَلْ لِي لِسَانَ صِدْق ٍ فِي الآخِرِينَ
Wa Aj`alnī Min Warathati Jannati An-Na`īmi 85. Na unijaalie katika warithi wa Bustani za neema. وَاجْعَلْنِي مِنْ وَرَثَةِ جَنَّةِ النَّعِيمِ
Wa Aghfir Li'abī 'Innahu Kāna Mina Ađ-Đāllīna 86. Na umsamehe baba yangu, kwani hakika alikuwa miongoni mwa wapotovu. وَاغْفِرْ لِأَبِي إِنَّه ُُ كَانَ مِنَ الضَّالِّينَ
Wa Lā Tukhzinī Yawma Yub`athūna 87. Wala usinihizi Siku watapo fufuliwa. وَلاَ تُخْزِنِي يَوْمَ يُبْعَثُونَ
Yawma Lā Yanfa`u Mālun Wa Lā Banūna 88. Siku ambayo kwamba mali hayato faa kitu wala wana. يَوْمَ لاَ يَنْفَعُ مَال ٌ وَلاَ بَنُونَ
'Illā Man 'Atá Allāha Biqalbin Salīmin 89. Isipo kuwa mwenye kumjia Mwenyezi Mungu na moyo safi. إِلاَّ مَنْ أَتَى اللَّهَ بِقَلْب ٍ سَلِيم ٍ
Wa 'Uzlifati Al-Jannatu Lilmuttaqīna 90. Na Pepo itasogezwa kwa wachamngu. وَأُزْلِفَتِ الْجَنَّةُ لِلْمُتَّقِينَ
Wa Burrizati Al-Jaĥīmu Lilghāwīna 91. Na Jahannamu itadhihirishwa kwa wapotovu. وَبُرِّزَتِ الْجَحِيمُ لِلْغَاوِينَ
Wa Qīla Lahum 'Ayna Mā Kuntum Ta`budūna 92. Na wataambiwa: Wako wapi mlio kuwa mkiwaabudu وَقِيلَ لَهُمْ أَيْنَ مَا كُنْتُمْ تَعْبُدُونَ
Min Dūni Allāhi Hal Yanşurūnakum 'Aw Yantaşirūna 93. Badala ya Mwenyezi Mungu? Je! Wanakusaidieni, au wanajisaidia wenyewe? مِنْ دُونِ اللَّهِ هَلْ يَنْصُرُونَكُمْ أَوْ يَنْتَصِرُونَ
Fakubkibū Fīhā Hum Wa Al-Ghāwūna 94. Basi watavurumizwa humo wao na hao wakosefu, فَكُبْكِبُوا فِيهَا هُمْ وَالْغَاوُونَ
Wa Junūdu 'Iblīsa 'Ajma`ūna 95. Na majeshi ya Ibilisi yote. وَجُنُودُ إِبْلِيسَ أَجْمَعُونَ
Qālū Wa Hum Fīhā Yakhtaşimūna 96. Watasema, na hali ya kuwa wanazozana humo: قَالُوا وَهُمْ فِيهَا يَخْتَصِمُونَ
Ta-Allāhi 'In Kunnā Lafī Đalālin Mubīnin 97. Wallahi! Kwa yakini tulikuwa katika upotovu ulio dhaahiri, تَاللَّهِ إِنْ كُنَّا لَفِي ضَلاَل ٍ مُبِين ٍ
'Idh Nusawwīkum Birabbi Al-`Ālamīna 98. Tulipo kufanyeni ni sawa na Mola Mlezi wa walimwengu wote. إِذْ نُسَوِّيكُمْ بِرَبِّ الْعَالَمِينَ
Wa Mā 'Ađallanā 'Illā Al-Mujrimūna 99. Na hawakutupoteza ila wale wakosefu. وَمَا أَضَلَّنَا إِلاَّ الْمُجْرِمُونَ
Famā Lanā Min Shāfi`īna 100. Basi hatuna waombezi. فَمَا لَنَا مِنْ شَافِعِينَ
Wa Lā Şadīqin Ĥamīmin 101. Wala rafiki wa dhati. وَلاَ صَدِيقٍ حَمِيم ٍ
Falaw 'Anna Lanā Karratan Fanakūna Mina Al-Mu'uminīna 102. Laiti tungeli pata kurejea tena tungeli kuwa katika Waumini. فَلَوْ أَنَّ لَنَا كَرَّة ً فَنَكُونَ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ
'Inna Fī Dhālika La'āyatan Wa Mā Kāna 'Aktharuhum Mu'uminīna 103. Hakika katika haya ipo Ishara, lakini wengi wao hawakuwa wenye kuamini. إِنَّ فِي ذَلِكَ لَآيَة ً وَمَا كَانَ أَكْثَرُهُمْ مُؤْمِنِينَ
Wa 'Inna Rabbaka Lahuwa Al-`Azīzu Ar-Raĥīmu 104. Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu. وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ الْعَزِيزُ الرَّحِيمُ
Kadhdhabat Qawmu Nūĥin Al-Mursalīna 105. Kaumu ya Nuhu waliwakadhibisha Mitume. كَذَّبَتْ قَوْمُ نُوح ٍ الْمُرْسَلِينَ
'Idh Qāla Lahum 'Akhūhum Nūĥun 'Alā Tattaqūna 106. Alipo waambia ndugu yao, Nuhu: Je! Hamchimngu? إِذْ قَالَ لَهُمْ أَخُوهُمْ نُوحٌ أَلاَ تَتَّقُونَ
'Innī Lakum Rasūlun 'Amīnun 107. Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu. إِنِّي لَكُمْ رَسُولٌ أَمِين ٌ
Fāttaqū Allāha Wa 'Aţī`ūni 108. Basi Mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. فَاتَّقُوا اللَّهَ وَأَطِيعُونِ
Wa Mā 'As'alukum `Alayhi Min 'Ajrin 'In 'Ajrī 'Illā `Alá Rabbi Al-`Ālamīna 109. Na sikutakini juu yake ujira, kwani ujira wangu hauko ila kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. وَمَا أَسْأَلُكُمْ عَلَيْهِ مِنْ أَجْر ٍ إِنْ أَجْرِي إِلاَّ عَلَى رَبِّ الْعَالَمِينَ
Fāttaqū Allāha Wa 'Aţī`ūni 110. Basi Mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. فَاتَّقُوا اللَّهَ وَأَطِيعُونِ
Qālū 'Anu'uminu Laka Wa Attaba`aka Al-'Ardhalūna 111. Wakasema: Je! Tukuamini wewe, hali wanao kufuata ni watu wa chini? قَالُوا أَنُؤْمِنُ لَكَ وَاتَّبَعَكَ الأَرْذَلُونَ
Qāla Wa Mā `Ilmī Bimā Kānū Ya`malūna 112. Akasema: Nayajuaje waliyo kuwa wakiyafanya? قَالَ وَمَا عِلْمِي بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
'In Ĥisābuhum 'Illā `Alá Rabbī Law Tash`urūna 113. Hisabu yao haiko ila kwa Mola wao Mlezi, laiti mngeli tambua! إِنْ حِسَابُهُمْ إِلاَّ عَلَى رَبِّي لَوْ تَشْعُرُونَ
Wa Mā 'Anā Biţāridi Al-Mu'uminīna 114. Wala mimi si wa kuwafukuza Waumini. وَمَا أَنَا بِطَارِدِ الْمُؤْمِنِينَ
'In 'Anā 'Illā Nadhīrun Mubīnun 115. Mimi si cho chote ila ni Mwonyaji wa dhaahiri shaahiri. إِنْ أَنَا إِلاَّ نَذِير ٌ مُبِين ٌ
Qālū La'in Lam Tantahi Yā Nūĥu Latakūnanna Mina Al-Marjūmīna 116. Wakasema: Ikiwa huachi, ewe Nuhu, bila ya shaka utapigwa mawe. قَالُوا لَئِنْ لَمْ تَنْتَه ِِ يَانُوحُ لَتَكُونَنَّ مِنَ الْمَرْجُومِينَ
Qāla Rabbi 'Inna Qawmī Kadhdhabūni 117. Akasema: Mola wangu Mlezi! Hakika watu wangu wamenikanusha. قَالَ رَبِّ إِنَّ قَوْمِي كَذَّبُونِ
Fāftaĥ Baynī Wa Baynahum Fatĥāan Wa Najjinī Wa Man Ma`ī Mina Al-Mu'uminīna 118. Basi hukumu baina yangu na wao kwa hukumu yako, na uniokoe mimi na walio pamoja nami, Waumini. فَافْتَحْ بَيْنِي وَبَيْنَهُمْ فَتْحا ً وَنَجِّنِي وَمَنْ مَعِي مِنَ الْمُؤْمِنِينَ
Fa'anjaynāhu Wa Man Ma`ahu Fī Al-Fulki Al-Mashĥūni 119. Kwa hivyo tukamwokoa yeye na walio kuwa pamoja naye katika marikebu iliyo sheheni. فَأَنجَيْنَاه ُُ وَمَنْ مَعَه ُُ فِي الْفُلْكِ الْمَشْحُونِ
Thumma 'Aghraqnā Ba`du Al-Bāqīna 120. Kisha tukawazamisha baadaye walio bakia. ثُمَّ أَغْرَقْنَا بَعْدُ الْبَاقِينَ
'Inna Fī Dhālika La'āyatan Wa Mā Kāna 'Aktharuhum Mu'uminīna 121. Hakika katika haya ipo Ishara, lakini si wengi wao walio kuwa Waumini. إِنَّ فِي ذَلِكَ لَآيَة ً وَمَا كَانَ أَكْثَرُهُمْ مُؤْمِنِينَ
Wa 'Inna Rabbaka Lahuwa Al-`Azīzu Ar-Raĥīmu 122. Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Yeye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu. وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ الْعَزِيزُ الرَّحِيمُ
Kadhdhabat `Ādun Al-Mursalīna 123. Kina A'd waliwakanusha Mitume. كَذَّبَتْ عَاد ٌ الْمُرْسَلِينَ
'Idh Qāla Lahum 'Akhūhum Hūdun 'Alā Tattaqūna 124. Alipo waambia ndugu yao, Hud: Je! Hamchimngu? إِذْ قَالَ لَهُمْ أَخُوهُمْ هُودٌ أَلاَ تَتَّقُونَ
'Innī Lakum Rasūlun 'Amīnun 125. Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu. إِنِّي لَكُمْ رَسُولٌ أَمِين ٌ
Fāttaqū Allāha Wa 'Aţī`ūni 126. Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. فَاتَّقُوا اللَّهَ وَأَطِيعُونِ
Wa Mā 'As'alukum `Alayhi Min 'Ajrin 'In 'Ajrī 'Illā `Alá Rabbi Al-`Ālamīna 127. Wala sikutakeni juu yake ujira, kwani ujira wangu hauko ila kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. وَمَا أَسْأَلُكُمْ عَلَيْهِ مِنْ أَجْر ٍ إِنْ أَجْرِي إِلاَّ عَلَى رَبِّ الْع