114) Sūrat An-Nās

Printed format

114) سُورَة النَّاس

Qul 'A`ūdhu Birabbi An-Nāsi 1. Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu, قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ النَّاسِ
Maliki An-Nāsi 2. Mfalme wa wanaadamu, مَلِكِ النَّاسِ
'Ilahi An-Nāsi 3. Mungu wa wanaadamu, إِلَهِ النَّاسِ
Min Sharri Al-Waswāsi Al-Khannāsi 4. Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas, مِنْ شَرِّ الْوَسْوَاسِ الْخَنَّاسِ
Al-Ladhī Yuwaswisu Fī Şudūri An-Nāsi 5. Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu, الَّذِي يُوَسْوِسُ فِي صُدُورِ النَّاسِ
Mina Al-Jinnati Wa An-Nāsi 6. Kutokana na majini na wanaadamu.  * مِنَ الْجِنَّةِ وَالنَّاسِ