'Alif-Lām-Rā Tilka 'Āyātu Al-Kitābi Al-Mubīni  | 1. Alif Lam Raa. Hizi ni Aya za Kitabu kinacho
bainisha. | أَلِف-لَام-رَا تِلْكَ آيَاتُ الْكِتَابِ الْمُبِينِ |
'Innā 'Anzalnāhu Qur'ānāan `Arabīyāan La`allakum Ta`qilūna  | 2. Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani kwa Kiarabu
ili mpate kuzingatia. | إِنَّا أَنزَلْنَاه ُُ قُرْآناً عَرَبِيّا ً لَعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ |
Naĥnu Naquşşu `Alayka 'Aĥsana Al-Qaşaşi Bimā 'Awĥaynā 'Ilayka Hādhā Al-Qur'āna Wa 'In Kunta Min Qablihi Lamina Al-Ghāfilīna  | 3. Sisi tunasimulia simulizi nzuri kwa kukufunulia
Qur'ani hii. Na ijapo kuwa kabla ya haya ulikuwa miongoni mwa wasio jua. | نَحْنُ نَقُصُّ عَلَيْكَ أَحْسَنَ الْقَصَصِ بِمَا أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ هَذَا الْقُرْآنَ وَإِنْ كُنتَ مِنْ قَبْلِه ِِ لَمِنَ الْغَافِلِينَ |
'Idh Qāla Yūsufu Li'abīhi Yā 'Abati 'Innī Ra'aytu 'Aĥada `Ashara Kawkabāan Wa Ash-Shamsa Wa Al-Qamara Ra'aytuhum Lī Sājidīna  | 4. Yusuf alipo mwambia baba yake: Ewe babaangu!
Hakika mimi nimeota nyota kumi na moja, na jua, na mwezi. Nimeota zikinisujudia. | إِذْ قَالَ يُوسُفُ لِأَبِيه ِِ يَاأَبَتِ إِنِّي رَأَيْتُ أَحَدَ عَشَرَ كَوْكَبا ً وَالشَّمْسَ وَالْقَمَرَ رَأَيْتُهُمْ لِي سَاجِدِينَ |
Qāla Yā Bunayya Lā Taqşuş Ru'uyā Ka `Alá 'Ikhwatika Fayakīdū Laka Kaydāan 'Inna Ash-Shayţāna Lil'insāni `Adūwun Mubīnun  | 5. (Baba) akasema: Ewe mwanangu! Usiwasimulie
nduguzo ndoto yako, wasije wakakufanyia vitimbi. Hakika Shet'ani ni adui
aliye dhaahiri kwa mwanaadamu. | قَالَ يَابُنَيَّ لاَ تَقْصُصْ رُؤْيَاكَ عَلَى إِخْوَتِكَ فَيَكِيدُوا لَكَ كَيْدا ً إِنَّ الشَّيْطَانَ لِلإِنسَانِ عَدُوّ ٌ مُبِين ٌ |
Wa Kadhalika Yajtabīka Rabbuka Wa Yu`allimuka Min Ta'wīli Al-'Aĥādīthi Wa Yutimmu Ni`matahu `Alayka Wa `Alá 'Āli Ya`qūba Kamā 'Atammahā `Alá 'Abawayka Min Qablu 'Ibrāhīma Wa 'Isĥāqa 'Inna Rabbaka `Alīmun Ĥakīmun  | 6. Na kadhaalika Mola wako Mlezi atakuteuwa na
atakufundisha tafsiri ya mambo. Na atatimiza neema zake juu yako na juu
ya ukoo wa Yaa'qub, kama alivyo watimizia hapo zamani baba zako Ibrahim
na Is-haq. Hakika Mola wako Mlezi ni Mjuzi Mwenye hikima. | وَكَذَلِكَ يَجْتَبِيكَ رَبُّكَ وَيُعَلِّمُكَ مِنْ تَأْوِيلِ الأَحَادِيثِ وَيُتِمُّ نِعْمَتَه ُُ عَلَيْكَ وَعَلَى آلِ يَعْقُوبَ كَمَا أَتَمَّهَا عَلَى أَبَوَيْكَ مِنْ قَبْلُ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْحَاقَ إِنَّ رَبَّكَ عَلِيمٌ حَكِيم ٌ |
Laqad Kāna Fī Yūsufa Wa 'Ikhwatihi 'Āyātun Lilssā'ilīna  | 7. Kwa yakini katika Yusuf na nduguze ziko ishara
kwa wanao uliza. | لَقَدْ كَانَ فِي يُوسُفَ وَإِخْوَتِهِ آيَات ٌ لِلسَّائِلِينَ |
'Idh Qālū Layūsufu Wa 'Akhūhu 'Aĥabbu 'Ilá 'Abīnā Minnā Wa Naĥnu `Uşbatun 'Inna 'Abānā Lafī Đalālin Mubīnin  | 8. Pale walipo sema: Hakika Yusuf na nduguye wanapendwa
zaidi na baba yetu kuliko sisi, hali sisi ni kikundi chenye nguvu. Hakika
baba yetu yumo katika upotofu wa dhaahiri. | إِذْ قَالُوا لَيُوسُفُ وَأَخُوهُ~ُ أَحَبُّ إِلَى أَبِينَا مِنَّا وَنَحْنُ عُصْبَة ٌ إِنَّ أَبَانَا لَفِي ضَلاَل ٍ مُبِين ٍ |
Aqtulū Yūsufa 'Awi Aţraĥūhu 'Arđāan Yakhlu Lakum Wajhu 'Abīkum Wa Takūnū Min Ba`dihi Qawmāan Şāliĥīna  | 9. Muuweni Yusuf, au mtupeni nchi mbali ili uso
wa baba yenu ukuelekeeni nyinyi. Na baada ya haya mtakuwa watu wema. | اقْتُلُوا يُوسُفَ أَوِ اطْرَحُوهُ~ُ أَرْضا ً يَخْلُ لَكُمْ وَجْهُ أَبِيكُمْ وَتَكُونُوا مِنْ بَعْدِه ِِ قَوْما ً صَالِحِينَ |
Qāla Qā'ilun Minhum Lā Taqtulū Yūsufa Wa 'Alqūhu Fī Ghayābati Al-Jubbi Yaltaqiţhu Ba`đu As-Sayyārati 'In Kuntum Fā`ilīna  | 10. Akasema msemaji kati yao: Msimuuwe Yusuf.
Lakini mtumbukizeni ndani ya kisima. Wasafiri watakuja mwokota; kama nyinyi
mna sharti ya kufanya jambo. | قَالَ قَائِل ٌ مِنْهُمْ لاَ تَقْتُلُوا يُوسُفَ وَأَلْقُوه ُُ فِي غَيَابَتِ الْجُبِّ يَلْتَقِطْهُ بَعْضُ السَّيَّارَةِ إِنْ كُنتُمْ فَاعِلِينَ |
Qālū Yā 'Abānā Mā Laka Lā Ta'mannā `Alá Yūsufa Wa 'Innā Lahu Lanāşiĥūna  | 11. Wakasema: Ewe baba yetu! Una nini hata hutuamini
kwa Yusuf? Na hakika sisi ni wenye kumtakia kheri! | قَالُوا يَاأَبَانَا مَا لَكَ لاَ تَأْمَنَّا عَلَى يُوسُفَ وَإِنَّا لَه ُُ لَنَاصِحُونَ |
'Arsilhu Ma`anā Ghadāan Yarta` Wa Yal`ab Wa 'Innā Lahu Laĥāfižūna  | 12. Mpeleke kesho pamoja nasi, ale kwa furaha
na acheze; na bila ya shaka sisi tutamhifadhi. | أَرْسِلْهُ مَعَنَا غَدا ً يَرْتَعْ وَيَلْعَبْ وَإِنَّا لَه ُُ لَحَافِظُونَ |
Qāla 'Innī Layaĥzununī 'An Tadh/habū Bihi Wa 'Akhāfu 'An Ya'kulahu Adh-Dhi'bu Wa 'Antum `Anhu Ghāfilūna  | 13. Akasem: Kwa hakika inanihuzunisha kwamba
nyinyi mwende naye, na ninaogopa asije mbwa mwitu akamla nanyi mmeghafilika
naye. | قَالَ إِنِّي لَيَحْزُنُنِي أَنْ تَذْهَبُوا بِه ِِ وَأَخَافُ أَنْ يَأْكُلَهُ الذِّئْبُ وَأَنْتُمْ عَنْهُ غَافِلُونَ |
Qālū La'in 'Akalahu Adh-Dhi'bu Wa Naĥnu `Uşbatun 'Innā 'Idhāan Lakhāsirūna  | 14. Wakasema: Ikiwa mbwa mwitu atamla na hali
sisi ni kundi lenye nguvu kabisa, basi bila ya shaka sisi tutakuwa khasarani. | قَالُوا لَئِنْ أَكَلَهُ الذِّئْبُ وَنَحْنُ عُصْبَة ٌ إِنَّا إِذا ً لَخَاسِرُونَ |
Falammā Dhahabū Bihi Wa 'Ajma`ū 'An Yaj`alūhu Fī Ghayābati Al-Jubbi Wa 'Awĥaynā 'Ilayhi Latunabbi'annahum Bi'amrihim Hādhā Wa Hum Lā Yash`urūna  | 15. Basi walipo mchukua na wakakubaliana wamtumbukize
ndani ya kisima, tulimfunulia Yusuf: Hapana shaka yoyote utakuja waambia
kwa jambo lao hili, na wala wao hawatambui. | فَلَمَّا ذَهَبُوا بِه ِِ وَأَجْمَعُوا أَنْ يَجْعَلُوه ُُ فِي غَيَابَتِ الْجُبِّ وَأَوْحَيْنَا إِلَيْهِ لَتُنَبِّئَنَّهُمْ بِأَمْرِهِمْ هَذَا وَهُمْ لاَ يَشْعُرُونَ |
Wa Jā'ū 'Abāhum `Ishā'an Yabkūna  | 16. Wakaja kwa baba yao usiku wakilia. | وَجَاءُوا أَبَاهُمْ عِشَاء ً يَبْكُونَ |
Qālū Yā 'Abānā 'Innā Dhahabnā Nastabiqu Wa Taraknā Yūsufa `Inda Matā`inā Fa'akalahu Adh-Dhi'bu Wa Mā 'Anta Bimu'uminin Lanā Wa Law Kunnā Şādiqīna  | 17. Wakasema: Ewe baba yetu! Hakika tulikwenda
kushindana na tukamwacha Yusuf penye vitu vyetu. Basi mbwa mwitu akamla.
Lakini wewe hutuamini ijapo kuwa tunasema kweli. | قَالُوا يَا أَبَانَا إِنَّا ذَهَبْنَا نَسْتَبِقُ وَتَرَكْنَا يُوسُفَ عِنْدَ مَتَاعِنَا فَأَكَلَهُ الذِّئْبُ وَمَا أَنْتَ بِمُؤْمِن ٍ لَنَا وَلَوْ كُنَّا صَادِقِينَ |
Wa Jā'ū `Alá Qamīşihi Bidamin Kadhibin Qāla Bal Sawwalat Lakum 'Anfusukum 'Amrāan Faşabrun Jamīlun Wa Allāhu Al-Musta`ānu `Alá Mā Taşifūna  | 18. Wakaja na kanzu yake ina damu ya uwongo.
Akasema: Bali nafsi zenu zimekushawishini kutenda kitendo. Lakini subira
ni njema; na Mwenyezi Mungu ndiye wa kuombwa msaada kwa haya mnayo yaeleza. | وَجَاءُوا عَلَى قَمِيصِه ِِ بِدَم ٍ كَذِب ٍ قَالَ بَلْ سَوَّلَتْ لَكُمْ أَنفُسُكُمْ أَمْرا ً فَصَبْر ٌ جَمِيل ٌ وَاللَّهُ الْمُسْتَعَانُ عَلَى مَا تَصِفُونَ |
Wa Jā'at Sayyāratun Fa'arsalū Wa Aridahum Fa'adlá Dalwahu Qāla Yā Bushrá Hādhā Ghulāmun Wa 'Asarrūhu Biđā`atan Wa Allāhu `Alīmun Bimā Ya`malūna  | 19. Ukafika msafara, wakamtuma mchota maji wao,
naye akatumbukiza ndoo yake. Alisema: Kheri Inshallah! Huyu hapa mvulana!
Wakamficha ili kumfanya ni bidhaa. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa wanayo
yatenda. | وَجَاءَتْ سَيَّارَة ٌ فَأَرْسَلُوا وَارِدَهُمْ فَأَدْلَى دَلْوَه ُُ قَالَ يَا بُشْرَى هَذَا غُلاَم ٌ وَأَسَرُّوه ُُ بِضَاعَة ً وَاللَّهُ عَلِيم ٌ بِمَا يَعْمَلُونَ |
Wa Sharawhu Bithamanin Bakhsin Darāhima Ma`dūdatin Wa Kānū Fīhi Mina Az-Zāhidīna  | 20. Na wakamuuza kwa thamani duni, kwa akali
ya pesa. Wala hawakuwa na haja naye. | وَشَرَوْهُ بِثَمَن ٍ بَخْس ٍ دَرَاهِمَ مَعْدُودَة ٍ وَكَانُوا فِيه ِِ مِنَ الزَّاهِدِينَ |
Wa Qāla Al-Ladhī Ashtarāhu Min Mişra Li'imra'atihi 'Akrimī Mathwāhu `Asá 'An Yanfa`anā 'Aw Nattakhidhahu Waladāan Wa Kadhalika Makkannā Liyūsufa Fī Al-'Arđi Wa Linu`allimahu Min Ta'wīli Al-'Aĥādīthi Wa Allāhu Ghālibun `Alá 'Amrihi Wa Lakinna 'Akthara An-Nāsi Lā Ya`lamūna  | 21. Na yule aliye mnunua huko Misri alimwambia
mkewe: Mtengenezee makaazi ya hishima huyu; huenda akatufaa au tukamfanya
mwenetu. Na kama hivyo tulimweka Yusuf katika nchi ili tumfundishe kufasiri
mambo. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kushinda katika jambo lake, lakini
watu wengi hawajui. | وَقَالَ الَّذِي اشْتَرَاه ُُ مِنْ مِصْرَ لِإمْرَأَتِهِ~ِ أَكْرِمِي مَثْوَاه ُُ عَسَى أَنْ يَنفَعَنَا أَوْ نَتَّخِذَه ُُ وَلَدا ً وَكَذَلِكَ مَكَّنَّا لِيُوسُفَ فِي الأَرْضِ وَلِنُعَلِّمَه ُُ مِنْ تَأْوِيلِ الأَحَادِيثِ وَاللَّهُ غَالِبٌ عَلَى أَمْرِه ِِ وَلَكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لاَ يَعْلَمُونَ |
Wa Lammā Balagha 'Ashuddahu 'Ātaynāhu Ĥukmāan Wa `Ilmāan Wa Kadhalika Najzī Al-Muĥsinīna  | 22. Na alipo fikilia utu uzima tulimpa hukumu
na ilimu. Na kama hivi tunawalipa wanao tenda mema. | وَلَمَّا بَلَغَ أَشُدَّهُ آتَيْنَاه ُُ حُكْما ً وَعِلْما ً وَكَذَلِكَ نَجْزِي الْمُحْسِنِينَ |
Wa Rāwadat/hu Allatī Huwa Fī Baytihā `An Nafsihi Wa Ghallaqati Al-'Abwāba Wa Qālat Hayta Laka Qāla Ma`ādha Allāhi 'Innahu Rabbī 'Aĥsana Mathwāya 'Innahu Lā Yufliĥu Až-Žālimūna  | 23. Na yule bibi wa nyumba aliyo kuwamo Yusuf
alimtamani kinyume cha nafsi yake, na akafunga milango. Akamwambia: Njoo!
Yusuf akasema: Audhubillahi! Najikinga na Mwenyezi Mungu. Huyu bwana wangu
kaniweka maskani nzuri, na hakika wenye kudhulumu hawatengenekewi. | وَرَاوَدَتْهُ الَّتِي هُوَ فِي بَيْتِهَا عَنْ نَفْسِه ِِ وَغَلَّقَتِ الأَبْوَابَ وَقَالَتْ هَيْتَ لَكَ قَالَ مَعَاذَ اللَّهِ إِنَّه ُُ رَبِّي أَحْسَنَ مَثْوَايَ إِنَّهُ لاَ يُفْلِحُ الظَّالِمُونَ |
Wa Laqad Hammat Bihi Wa Hamma Bihā Lawlā 'An Ra'á Burhāna Rabbihi Kadhālika Linaşrifa `Anhu As-Sū'a Wa Al-Faĥshā'a 'Innahu Min `Ibādinā Al-Mukhlaşīna  | 24. Na hakika yule mwanamke alimtamani, na Yusuf
angeli mtamani lau kuwa hakuona ishara ya Mola wake Mlezi. Hayo hivyo ni
kwa ajili tumuepushe na uovu na uchafu. Hakika yeye alikuwa katika waja
wetu walio safishwa. | وَلَقَدْ هَمَّتْ بِه ِِ وَهَمَّ بِهَا لَوْلاَ أَنْ رَأَى بُرْهَانَ رَبِّه ِِ كَذَلِكَ لِنَصْرِفَ عَنْهُ السُّوءَ وَالْفَحْشَاءَ إِنَّه ُُ مِنْ عِبَادِنَا الْمُخْلَصِينَ |
Wa Astabaqā Al-Bāba Wa Qaddat Qamīşahu Min Duburin Wa 'Alfayā Sayyidahā Ladá Al-Bābi Qālat Mā Jazā'u Man 'Arāda Bi'ahlika Sū'āan 'Illā 'An Yusjana 'Aw `Adhābun 'Alīmun  | 25. Na wote wawili wakakimbilia mlangoni, na
mwanamke akairarua kanzu yake Yusuf kwa nyuma. Na wakamkuta bwana wake
mlangoni. Mwanamke akasema: Hapana malipo ya mwenye kutaka kumfanyia maovu
mkeo isipo kuwa kufungwa au kupewa adhabu chungu. | وَاسْتَبَقَا الْبَابَ وَقَدَّتْ قَمِيصَه ُُ مِنْ دُبُر ٍ وَأَلْفَيَا سَيِّدَهَا لَدَى الْبَابِ قَالَتْ مَا جَزَاءُ مَنْ أَرَادَ بِأَهْلِكَ سُوءا ً إِلاَّ أَنْ يُسْجَنَ أَوْ عَذَابٌ أَلِيم ٌ |
Qāla Hiya Rāwadatnī `An Nafsī Wa Shahida Shāhidun Min 'Ahlihā 'In Kāna Qamīşuhu Qudda Min Qubulin Faşadaqat Wa Huwa Mina Al-Kādhibīna  | 26. Yusuf akasema: Yeye ndiye aliye nitaka bila
ya mimi kumtaka. Na shahidi aliye kuwa katika jamaa za mwanamke alisema:
Ikiwa kanzu yake imechanwa mbele basi mwanamke amesema kweli, naye Yusuf
ni katika waongo. | قَالَ هِيَ رَاوَدَتْنِي عَنْ نَفْسِي وَشَهِدَ شَاهِد ٌ مِنْ أَهْلِهَا إِنْ كَانَ قَمِيصُه ُُ قُدَّ مِنْ قُبُل ٍ فَصَدَقَتْ وَهُوَ مِنَ الْكَاذِبِينَ |
Wa 'In Kāna Qamīşuhu Qudda Min Duburin Fakadhabat Wa Huwa Mina Aş-Şādiqīna  | 27. Na ikiwa kanzu yake imechanwa nyuma, basi
mwanamke amesema uwongo, naye Yusuf ni katika wakweli. | وَإِنْ كَانَ قَمِيصُه ُُ قُدَّ مِنْ دُبُر ٍ فَكَذَبَتْ وَهُوَ مِنَ الصَّادِقِينَ |
Falammā Ra'á Qamīşahu Qudda Min Duburin Qāla 'Innahu Min Kaydikunna 'Inna Kaydakunna `Ažīmun  | 28. Basi yule bwana alipoona kanzu yake imechanwa
kwa nyuma, alisema: Hakika haya ni katika vitimbi vyenu wanawake. Bila
ya shaka vitimbi vyenu ni vikuu. | فَلَمَّا رَأَى قَمِيصَه ُُ قُدَّ مِنْ دُبُر ٍ قَالَ إِنَّه ُُ مِنْ كَيْدِكُنَّ إِنَّ كَيْدَكُنَّ عَظِيم ٌ |
Yūsufu 'A`riđ `An Hādhā Wa Astaghfirī Lidhanbiki 'Innaki Kunti Mina Al-Khāţi'īna  | 29. Yusuf! Wachilia mbali haya. Na wewe, mwanamke,
omba msamaha kwa dhambi zako. Kwa hakika wewe ni katika walio fanya makosa. | يُوسُفُ أَعْرِضْ عَنْ هَذَا وَاسْتَغْفِرِي لِذَنْبِكِ إِنَّكِ كُنتِ مِنَ الْخَاطِئِينَ |
Wa Qāla Niswatun Fī Al-Madīnati Amra'atu Al-`Azīzi Turāwidu Fatāhā `An Nafsihi Qad Shaghafahā Ĥubbāan 'Innā Lanarāhā Fī Đalālin Mubīnin  | 30. Na wanawake wa mjini wakawa wanasema: Mke
wa Mheshimiwa anamtamani mtumishi wake ! Hakika amesalitika kwa mapenzi.
Sisi hakika tunamwona yumo katika upotovu ulio dhaahiri. | وَقَالَ نِسْوَة ٌ فِي الْمَدِينَةِ امْرَأَتُ الْعَزِيزِ تُرَاوِدُ فَتَاهَا عَنْ نَفْسِه ِِ قَدْ شَغَفَهَا حُبّا ً إِنَّا لَنَرَاهَا فِي ضَلاَل ٍ مُبِين ٍ |
Falammā Sami`at Bimakrihinna 'Arsalat 'Ilayhinna Wa 'A`tadat Lahunna Muttaka'an Wa 'Ātat Kulla Wāĥidatin Minhunna Sikkīnāan Wa Qālati Akhruj `Alayhinna Falammā Ra'aynahu 'Akbarnahu Wa Qaţţa`na 'Aydiyahunna Wa Qulna Ĥāsha Lillāhi Mā Hādhā Basharāan 'In Hādhā 'Illā Malakun Karīmun  | 31. Alipo sikia yule bibi masengenyo yao aliwaita,
na akawawekea matakia ya kuegemea, na akampa kila mmoja wao kisu. Akamwambia
Yusuf: Tokeza mbele yao. Basi walipo mwona waliona ni kitu kikubwa kabisa,
na wakajikata mikono yao. Wakasema: Hasha Lillahi! Huyu si mwanaadamu.
Hakuwa huyu ila ni Malaika mtukufu. | فَلَمَّا سَمِعَتْ بِمَكْرِهِنَّ أَرْسَلَتْ إِلَيْهِنَّ وَأَعْتَدَتْ لَهُنَّ مُتَّكَأ ً وَآتَتْ كُلَّ وَاحِدَة ٍ مِنْهُنَّ سِكِّينا ً وَقَالَتِ اخْرُجْ عَلَيْهِنَّ فَلَمَّا رَأَيْنَهُ~ُ أَكْبَرْنَه ُُ وَقَطَّعْنَ أَيْدِيَهُنَّ وَقُلْنَ حَاشَ لِلَّهِ مَا هَذَا بَشَرا ً إِنْ هَذَا إِلاَّ مَلَك ٌ كَرِيم ٌ |
Qālat Fadhālikunna Al-Ladhī Lumtunnanī Fīhi Wa Laqad Rāwadttuhu `An Nafsihi Fāsta`şama Wa La'in Lam Yaf`al Mā 'Āmuruhu Layusjananna Wa Layakūnāan Mina Aş-Şāghirīna  | 32. Yule bibi aksema: Huyu basi ndiye huyo mliye
nilaumia! Na kweli mimi nilimtaka naye akakataa. Na akitofanya ninayo muamrisha
basi hapana shaka atafungwa gerezani, na atakuwa miongoni mwa walio chini
kabisa. | قَالَتْ فَذَلِكُنَّ الَّذِي لُمْتُنَّنِي فِيه ِِ وَلَقَدْ رَاوَدتُّه ُُ عَنْ نَفْسِه ِِ فَاسْتَعْصَمَ وَلَئِنْ لَمْ يَفْعَلْ مَا آمُرُه ُُ لَيُسْجَنَنَّ وَلَيَكُونا ً مِنَ الصَّاغِرِينَ |
Qāla Rabbi As-Sijnu 'Aĥabbu 'Ilayya Mimmā Yad`ūnanī 'Ilayhi Wa 'Illā Taşrif `Annī Kaydahunna 'Aşbu 'Ilayhinna Wa 'Akun Mina Al-Jāhilīna  | 33. Yusuf akasema: Ee Mola Mlezi wangu! Nastahabu
kifungo kuliko haya anayo niitia. Na usipo niondoshea vitimbi vya wanawake
mimi nitamili kwao, na nitakuwa katika wajinga. | قَالَ رَبِّ السِّجْنُ أَحَبُّ إِلَيَّ مِمَّا يَدْعُونَنِي إِلَيْهِ وَإِلاَّ تَصْرِفْ عَنِّي كَيْدَهُنَّ أَصْبُ إِلَيْهِنَّ وَأَكُنْ مِنَ الْجَاهِلِينَ |
Fāstajāba Lahu Rabbuhu Faşarafa `Anhu Kaydahunna 'Innahu Huwa As-Samī`u Al-`Alīmu  | 34. Basi Mola wake Mlezi akamwitikia, na akamwondoshea
vitimbi vyao. Hakika Yeye ni Msikizi Mjuzi. | فَاسْتَجَابَ لَه ُُ رَبُّه ُُ فَصَرَفَ عَنْهُ كَيْدَهُنَّ إِنَّه ُُ هُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ |
Thumma Badā Lahum Min Ba`di Mā Ra'aw Al-'Āyāti Layasjununnahu Ĥattá Ĥīnin  | 35. Basi ikawadhihirikia baada ya kuona Ishara
kuwa wamfunge kwa muda. | ثُمَّ بَدَا لَهُمْ مِنْ بَعْدِ مَا رَأَوُا الآيَاتِ لَيَسْجُنُنَّه ُُ حَتَّى حِين ٍ |
Wa Dakhala Ma`ahu As-Sijna Fatayāni Qāla 'Aĥaduhumā 'Innī 'Arānī 'A`şiru Khamrāan Wa Qāla Al-'Ākharu 'Innī 'Arānī 'Aĥmilu Fawqa Ra'sī Khubzāan Ta'kulu Aţ-Ţayru Minhu Nabbi'nā Bita'wīlihi 'Innā Narāka Mina Al-Muĥsinīna  | 36. Wakaingia gerezani pamoja naye vijana wawili.
Mmoja wao akasema: Hakika mimi nimeota nakamua mvinyo. Na mwingine akasema:
Mimi nimeota nimebeba mikate juu ya kichwa changu, na ndege wanaila. Hebu
tuambie tafsiri yake, kwani sisi tunakuona wewe ni katika watu wema. | وَدَخَلَ مَعَهُ السِّجْنَ فَتَيَانِ قَالَ أَحَدُهُمَا إِنِّي أَرَانِي أَعْصِرُ خَمْرا ً وَقَالَ الآخَرُ إِنِّي أَرَانِي أَحْمِلُ فَوْقَ رَأْسِي خُبْزا ً تَأْكُلُ الطَّيْرُ مِنْهُ نَبِّئْنَا بِتَأْوِيلِهِ~ِ إِنَّا نَرَاكَ مِنَ الْمُحْسِنِينَ |
Qāla Lā Ya'tīkumā Ţa`āmun Turzaqānihi 'Illā Nabba'tukumā Bita'wīlihi Qabla 'An Ya'tiyakumā Dhālikumā Mimmā `Allamanī Rabbī 'Innī Taraktu Millata Qawmin Lā Yu'uminūna Billāhi Wa Hum Bil-'Ākhirati Hum Kāfirūna  | 37. Akasema: Hakitakufikilieni chakula mtakacho
pewa ila nitakwambieni hakika yake kabla hakijakufikieni. Haya ni katika
yale aliyo nifundisha Mola wangu Mlezi. Hakika mimi nimeacha mila ya watu
wasio muamini Mwenyezi Mungu, na wakawa hawaiamini Akhera. | قَالَ لاَ يَأْتِيكُمَا طَعَام ٌ تُرْزَقَانِهِ~ِ إِلاَّ نَبَّأْتُكُمَا بِتَأْوِيلِه ِِ قَبْلَ أَنْ يَأْتِيَكُمَا ذَلِكُمَا مِمَّا عَلَّمَنِي رَبِّي إِنِّي تَرَكْتُ مِلَّةَ قَوْم ٍ لاَ يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَهُمْ بِالآخِرَةِ هُمْ كَافِرُونَ |
Wa Attaba`tu Millata 'Ābā'ī 'Ibrāhīma Wa 'Isĥāqa Wa Ya`qūba Mā Kāna Lanā 'An Nushrika Billāhi Min Shay'in Dhālika Min Fađli Allāhi `Alaynā Wa `Alá An-Nāsi Wa Lakinna 'Akthara An-Nāsi Lā Yashkurūna  | 38. Na nimefuata mila ya baba zangu, Ibrahim,
na Is-haq, na Yaa'qub. Hatuna haki ya kumshirikisha Mwenyezi Mungu na chochote.
Hiyo ni katika fadhila ya Mwenyezi Mungu juu yetu na juu ya watu; lakini
watu wengi hawashukuru. | وَاتَّبَعْتُ مِلَّةَ آبَائِي إِبْرَاهِيمَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ مَا كَانَ لَنَا أَنْ نُشْرِكَ بِاللَّهِ مِنْ شَيْء ٍ ذَلِكَ مِنْ فَضْلِ اللَّهِ عَلَيْنَا وَعَلَى النَّاسِ وَلَكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لاَ يَشْكُرُونَ |
Yā Şāĥibayi As-Sijni 'A'arbābun Mutafarriqūna Khayrun 'Ami Allāhu Al-Wāĥidu Al-Qahhāru  | 39. Enyi wafungwa wenzangu wawili! Je, mabwana
wengi wanao farikiana wao kwa wao ni bora au Mwenyezi Mungu Mmoja Mwenye
nguvu? | يَا صَاحِبَيِ السِّجْنِ أَأَرْبَاب ٌ مُتَفَرِّقُونَ خَيْرٌ أَمِ اللَّهُ الْوَاحِدُ الْقَهَّارُ |
Mā Ta`budūna Min Dūnihi 'Illā 'Asmā'an Sammaytumūhā 'Antum Wa 'Ābā'uukum Mā 'Anzala Allāhu Bihā Min Sulţānin 'Ini Al-Ĥukmu 'Illā Lillāhi 'Amara 'Allā Ta`budū 'Illā 'Īyāhu Dhālika Ad-Dīnu Al-Qayyimu Wa Lakinna 'Akthara An-Nāsi Lā Ya`lamūna  | 40. Hamuabudu badala yake ila majina tu mliyo
yapanga nyinyi na baba zenu. Mwenyezi Mungu hakuyateremshia hayo uthibitisho
wowote. Hapana hukumu ila ya Mwenyezi Mungu tu. Yeye ameamrisha msimuabudu
yeyote isipo kuwa Yeye tu. Hiyo ndiyo Dini Iliyo Nyooka. Lakini watu wengi
hawajui. | مَا تَعْبُدُونَ مِنْ دُونِهِ~ِ إِلاَّ أَسْمَاء ً سَمَّيْتُمُوهَا أَنْتُمْ وَآبَاؤُكُمْ مَا أَنزَلَ اللَّهُ بِهَا مِنْ سُلْطَان ٍ إِنِ الْحُكْمُ إِلاَّ لِلَّهِ أَمَرَ أَلاَّ تَعْبُدُوا إِلاَّ إِيَّاه ُُ ذَلِكَ الدِّينُ الْقَيِّمُ وَلَكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لاَ يَعْلَمُونَ |
Yā Şāĥibayi As-Sijni 'Ammā 'Aĥadukumā Fayasqī Rabbahu Khamrāan Wa 'Ammā Al-'Ākharu Fayuşlabu Fata'kulu Aţ-Ţayru Min Ra'sihi Quđiya Al-'Amru Al-Ladhī Fīhi Tastaftiyāni  | 41. Enyi wafungwa wenzangu wawili! Ama mmoja
wenu atamnywesha bwana wake mvinyo. Na ama mwengine atasulubiwa, na ndege
watamla kichwa chake. Imekwisha katwa hukumu ya hilo jambo mlilo kuwa mkiuliza. | يَا صَاحِبَيِ السِّجْنِ أَمَّا أَحَدُكُمَا فَيَسْقِي رَبَّه ُُ خَمْرا ً وَأَمَّا الآخَرُ فَيُصْلَبُ فَتَأْكُلُ الطَّيْرُ مِنْ رَأْسِه ِِ قُضِيَ الأَمْرُ الَّذِي فِيه ِِ تَسْتَفْتِيَانِ |
Wa Qāla Lilladhī Žanna 'Annahu Nājin Minhumā Adhkurnī `Inda Rabbika Fa'ansāhu Ash-Shayţānu Dhikra Rabbihi Falabitha Fī As-Sijni Biđ`a Sinīna  | 42. Na akamwambia yule aliye jua kuwa atavuka
katika wale wawili: Nikumbuke kwa bwana wako. Lakini Shet'ani alimsahaulisha
kumtaja kwa bwana wake. Basi Yusuf akakaa gerezani miaka kadhaa. | وَقَالَ لِلَّذِي ظَنَّ أَنَّه ُُ نَاج ٍ مِنْهُمَا اذْكُرْنِي عِنْدَ رَبِّكَ فَأَنسَاهُ الشَّيْطَانُ ذِكْرَ رَبِّه ِِ فَلَبِثَ فِي السِّجْنِ بِضْعَ سِنِينَ |
Wa Qāla Al-Maliku 'Innī 'Ará Sab`a Baqarātin Simānin Ya'kuluhunna Sab`un `Ijāfun Wa Sab`a Sunbulātin Khuđrin Wa 'Ukhara Yā Bisātin Yā 'Ayyuhā Al-Mala'u 'Aftūnī Fī Ru'uyā Ya 'In Kuntum Lilrru'uyā Ta`burūna  | 43. Na siku moja mfalme alisema: Hakika mimi
nimeota ng'ombe saba wanene wanaliwa na ng'ombe saba walio konda. Na mashuke
saba mabichi na mengine makavu. Enyi waheshimiwa! Nambieni maana ya ndoto
zangu, ikiwa nyinyi mnaweza kuagua ndoto. | وَقَالَ الْمَلِكُ إِنِّي أَرَى سَبْعَ بَقَرَات ٍ سِمَان ٍ يَأْكُلُهُنَّ سَبْعٌ عِجَاف ٌ وَسَبْعَ سُنْبُلاَتٍ خُضْر ٍ وَأُخَرَ يَابِسَات ٍ يَاأَيُّهَا الْمَلَأُ أَفْتُونِي فِي رُؤْيَايَ إِنْ كُنتُمْ لِلرُّؤْيَا تَعْبُرُونَ |
Qālū 'Ađghāthu 'Aĥlāmin Wa Mā Naĥnu Bita'wīli Al-'Aĥlāmi Bi`ālimīna  | 44. Wakasema: Hizi ni ndoto zilizo paraganyika,
wala sisi sio wenye kujua tafsiri ya ndoto hizi. | قَالُوا أَضْغَاثُ أَحْلاَم ٍ وَمَا نَحْنُ بِتَأْوِيلِ الأَحْلاَمِ بِعَالِمِينَ |
Wa Qāla Al-Ladhī Najā Minhumā Wa Aiddakara Ba`da 'Ummatin 'Anā 'Unabbi'ukum Bita'wīlihi Fa'arsilūni  | 45. Hapo akasema yule aliye okoka katika wale
wawili akakumbuka baada ya muda: Mimi nitakwambieni tafsiri yake. Basi
nitumeni. | وَقَالَ الَّذِي نَجَا مِنْهُمَا وَاِدَّكَرَ بَعْدَ أُمَّةٍ أَنَا أُنَبِّئُكُمْ بِتَأْوِيلِه ِِ فَأَرْسِلُونِ |
Yūsufu 'Ayyuhā Aş-Şiddīqu 'Aftinā Fī Sab`i Baqarātin Simānin Ya'kuluhunna Sab`un `Ijāfun Wa Sab`i Sunbulātin Khuđrin Wa 'Ukhara Yā Bisātin La`allī 'Arji`u 'Ilá An-Nāsi La`allahum Ya`lamūna  | 46. Yusuf! Ewe mkweli! Tueleze nini maana ya
ng'ombe saba wanene kuliwa na ng'ombe saba walio konda. Na mashuke saba
mabichi na mengine makavu, ili nirejee kwa watu wapate kujua. | يُوسُفُ أَيُّهَا الصِّدِّيقُ أَفْتِنَا فِي سَبْعِ بَقَرَات ٍ سِمَان ٍ يَأْكُلُهُنَّ سَبْعٌ عِجَاف ٌ وَسَبْعِ سُنْبُلاَتٍ خُضْر ٍ وَأُخَرَ يَابِسَات ٍ لَعَلِّي أَرْجِعُ إِلَى النَّاسِ لَعَلَّهُمْ يَعْلَمُونَ |
Qāla Tazra`ūna Sab`a Sinīna Da'abāan Famā Ĥaşadtum Fadharūhu Fī Sunbulihi 'Illā Qalīlāan Mimmā Ta'kulūna  | 47. Akasema: Mtalima miaka saba kwa juhudi. Mtacho
vuna kiwacheni katika mashuke yake, isipo kuwa kidogo mtacho kula. | قَالَ تَزْرَعُونَ سَبْعَ سِنِينَ دَأَبا ً فَمَا حَصَدْتُمْ فَذَرُوه ُُ فِي سُنْبُلِهِ~ِ إِلاَّ قَلِيلا ً مِمَّا تَأْكُلُونَ |
Thumma Ya'tī Min Ba`di Dhālika Sab`un Shidādun Ya'kulna Mā Qaddamtum Lahunna 'Illā Qalīlāan Mimmā Tuĥşinūna  | 48. Kisha itakuja baadaye miaka saba ya shida
itakayo kula kile mlicho iwekea isipo kuwa kidogo mtacho kihifadhi. | ثُمَّ يَأْتِي مِنْ بَعْدِ ذَلِكَ سَبْع ٌ شِدَاد ٌ يَأْكُلْنَ مَا قَدَّمْتُمْ لَهُنَّ إِلاَّ قَلِيلا ً مِمَّا تُحْصِنُونَ |
Thumma Ya'tī Min Ba`di Dhālika `Āmun Fīhi Yughāthu An-Nāsu Wa Fīhi Ya`şirūna  | 49. Kisha baada ya haya utakuja mwaka ambao katika
mwaka huo watu watasaidiwa, na watakamua. | ثُمَّ يَأْتِي مِنْ بَعْدِ ذَلِكَ عَام ٌ فِيه ِِ يُغَاثُ النَّاسُ وَفِيه ِِ يَعْصِرُونَ |
Wa Qāla Al-Maliku A'tūnī Bihi Falammā Jā'ahu Ar-Rasūlu Qāla Arji` 'Ilá Rabbika Fās'alhu Mā Bālu An-Niswati Al-Lātī Qaţţa`na 'Aydiyahunna 'Inna Rabbī Bikaydihinna `Alīmun  | 50. Na mfalme akasema: Mleteni kwangu! Basi mjumbe
alipo mjia Yusuf alisema: Rejea kwa bwana wako ukamuulize khabari ya wale
wanawake walio jikata mikono yao. Hakika Mola wangu Mlezi anazijua vyema
hila zao. | وَقَالَ الْمَلِكُ ائْتُونِي بِه ِِ فَلَمَّا جَاءَهُ الرَّسُولُ قَالَ ارْجِعْ إِلَى رَبِّكَ فَاسْأَلْهُ مَا بَالُ النِّسْوَةِ اللاَّتِي قَطَّعْنَ أَيْدِيَهُنَّ إِنَّ رَبِّي بِكَيْدِهِنَّ عَلِيم ٌ |
Qāla Mā Khaţbukunna 'Idh Rāwadttunna Yūsufa `An Nafsihi Qulna Ĥāsha Lillāhi Mā `Alimnā `Alayhi Min Sū'in Qālati Amra'atu Al-`Azīzi Al-'Āna Ĥaşĥaşa Al-Ĥaqqu 'Anā Rāwadttuhu `An Nafsihi Wa 'Innahu Lamina Aş-Şādiqīna  | 51. Mfalme alisema: Mlikuwa mna nini mlipo mtaka
Yusuf kinyume na nafsi yake? Wakasema: Hasha Lillahi! Sisi hatukujua ubaya
wowote kwake. Mke wa Mheshimiwa akasema: Sasa haki imedhihiri. Mimi ndiye
niliye mtaka kinyume na nafsi yake, na hakika yeye ni katika wakweli. | قَالَ مَا خَطْبُكُنَّ إِذْ رَاوَدتُّنَّ يُوسُفَ عَنْ نَفْسِه ِِ قُلْنَ حَاشَ لِلَّهِ مَا عَلِمْنَا عَلَيْهِ مِنْ سُوء ٍ قَالَتِ امْرَأَتُ الْعَزِيزِ الآنَ حَصْحَصَ الْحَقُّ أَنَا رَاوَدتُّه ُُ عَنْ نَفْسِه ِِ وَإِنَّه ُُ لَمِنَ الصَّادِقِينَ |
Dhālika Liya`lama 'Annī Lam 'Akhunhu Bil-Ghaybi Wa 'Anna Allāha Lā Yahdī Kayda Al-Khā'inīna  | 52. Hayo ni apate kujua ya kwamba mimi sikumfanyia
khiyana nyuma yake; na ya kwamba Mwenyezi Mungu haziongoi hila za makhaini. | ذَلِكَ لِيَعْلَمَ أَنِّي لَمْ أَخُنْهُ بِالْغَيْبِ وَأَنَّ اللَّهَ لاَ يَهْدِي كَيْدَ الْخَائِنِينَ |
Wa Mā 'Ubarri'u Nafsī 'Inna An-Nafsa La'ammāratun Bis-Sū'i 'Illā Mā Raĥima Rabbī 'Inna Rabbī Ghafūrun Raĥīmun  | 53. NAMI sijitoi lawamani. Kwa hakika nafsi ni
mno kuamrisha maovu, isipo kuwa ile ambayo Mola wangu Mlezi aliyo irehemu.
Hakika Mola wangu Mlezi ni Msamehevu na Mwenye kurehemu. | وَمَا أُبَرِّئُ نَفْسِي إِنَّ النَّفْسَ لَأَمَّارَة ٌ بِالسُّوءِ إِلاَّ مَا رَحِمَ رَبِّي إِنَّ رَبِّي غَفُور ٌ رَحِيم ٌ |
Wa Qāla Al-Maliku A'tūnī Bihi 'Astakhlişhu Linafsī Falammā Kallamahu Qāla 'Innaka Al-Yawma Ladaynā Makīnun 'Amīnun  | 54. Basi mfalme akasema: Mleteni kwangu, awe
wangu mwenyewe khasa. Basi alipo msemeza alinena: Hakika wewe leo umekwisha
tamakani kwetu na umeaminika. | وَقَالَ الْمَلِكُ ائْتُونِي بِهِ~ِ أَسْتَخْلِصْهُ لِنَفْسِي فَلَمَّا كَلَّمَه ُُ قَالَ إِنَّكَ الْيَوْمَ لَدَيْنَا مَكِينٌ أَمِين ٌ |
Qāla Aj`alnī `Alá Khazā'ini Al-'Arđi 'Innī Ĥafīžun `Alīmun  | 55. Yusuf akasema: Nifanye mshika khazina za
nchi. Kwani hakika mimi ni mlinzi mjuzi. | قَالَ اجْعَلْنِي عَلَى خَزَائِنِ الأَرْضِ إِنِّي حَفِيظٌ عَلِيم ٌ |
Wa Kadhalika Makkannā Liyūsufa Fī Al-'Arđi Yatabawwa'u Minhā Ĥaythu Yashā'u Nuşību Biraĥmatinā Man Nashā'u Wa Lā Nuđī`u 'Ajra Al-Muĥsinīna  | 56. Basi namna hivi tukampa Yusuf cheo katika
nchi; anakaa humo popote anapo penda. Tunamfikishia rehema zetu tumtakaye,
wala hatupuuzi malipo ya wafanyao mema. | وَكَذَلِكَ مَكَّنَّا لِيُوسُفَ فِي الأَرْضِ يَتَبَوَّأُ مِنْهَا حَيْثُ يَشَاءُ نُصِيبُ بِرَحْمَتِنَا مَنْ نَشَاءُ وَلاَ نُضِيعُ أَجْرَ الْمُحْسِنِينَ |
Wa La'ajru Al-'Ākhirati Khayrun Lilladhīna 'Āmanū Wa Kānū Yattaqūna  | 57. Na hakika malipo ya Akhera ni bora zaidi,
kwa walio amini na wakawa wachamngu. | وَلَأَجْرُ الآخِرَةِ خَيْر ٌ لِلَّذِينَ آمَنُوا وَكَانُوا يَتَّقُونَ |
Wa Jā'a 'Ikhwatu Yūsufa Fadakhalū `Alayhi Fa`arafahum Wa Hum Lahu Munkirūna  | 58. Wakaja ndugu zake Yusuf, na wakaingia kwake.
Yeye akawajua na wao hawakumjua. | وَجَاءَ إِخْوَةُ يُوسُفَ فَدَخَلُوا عَلَيْهِ فَعَرَفَهُمْ وَهُمْ لَه ُُ مُنكِرُونَ |
Wa Lammā Jahhazahum Bijahāzihim Qāla A'tūnī Bi'akhin Lakum Min 'Abīkum 'Alā Tarawna 'Annī 'Ūfī Al-Kayla Wa 'Anā Khayru Al-Munzilīna  | 59. Na alipo watengenezea tayari haja yao alisema:
Nileteeni ndugu yenu kwa baba. Je! Hamwoni ya kwamba mimi ninatimiza kipimo,
nami ni mbora wa kukirimu? | وَلَمَّا جَهَّزَهُمْ بِجَهَازِهِمْ قَالَ ائْتُونِي بِأَخ ٍ لَكُمْ مِنْ أَبِيكُمْ أَلاَ تَرَوْنَ أَنِّي أُوفِي الْكَيْلَ وَأَنَا خَيْرُ الْمُنزِلِينَ |
Fa'in Lam Ta'tūnī Bihi Falā Kayla Lakum `Indī Wa Lā Taqrabūni  | 60. Na msipo niletea basi hampati kipimo chochote
kwangu, wala msinikurubie. | فَإِنْ لَمْ تَأْتُونِي بِه ِِ فَلاَ كَيْلَ لَكُمْ عِندِي وَلاَ تَقْرَبُونِ |
Qālū Sanurāwidu `Anhu 'Abāhu Wa 'Innā Lafā`ilūna  | 61. Wakasema: Sisi tutamrairai baba yake; na
bila ya shaka tutafanya hayo. | قَالُوا سَنُرَاوِدُ عَنْهُ أَبَاه ُُ وَإِنَّا لَفَاعِلُونَ |
Wa Qāla Lifityānihi Aj`alū Biđā`atahum Fī Riĥālihim La`allahum Ya`rifūnahā 'Idhā Anqalabū 'Ilá 'Ahlihim La`allahum Yarji`ūna  | 62. Na Yusuf akawaambia watumishi wake: Tieni
bidhaa zao katika mizigo yao, ili wazione watakapo rudi kwa watu wao wapate
kurejea tena. | وَقَالَ لِفِتْيَانِهِ اجْعَلُوا بِضَاعَتَهُمْ فِي رِحَالِهِمْ لَعَلَّهُمْ يَعْرِفُونَهَا إِذَا انقَلَبُوا إِلَى أَهْلِهِمْ لَعَلَّهُمْ يَرْجِعُونَ |
Falammā Raja`ū 'Ilá 'Abīhim Qālū Yā 'Abānā Muni`a Minnā Al-Kaylu Fa'arsil Ma`anā 'Akhānā Naktal Wa 'Innā Lahu Laĥāfižūna  | 63. Basi walipo rejea kwa baba yao, walisema:
Ewe baba yetu! Tumenyimwa chakula zaidi, basi mpeleke nasi ndugu yetu ili
tupate kupimiwa; na yakini sisi tutamlinda. | فَلَمَّا رَجَعُوا إِلَى أَبِيهِمْ قَالُوا يَا أَبَانَا مُنِعَ مِنَّا |