Yaghfir Lakum Min Dhunūbikum Wa Yu'uakhkhirkum 'Ilaá 'Ajalin Musamman 'Inna 'Ajala Allāhi 'Idhā Jā'a Lā Yu'uakhkharu Law Kuntum Ta`lamūna (Nūĥ: 4). |
4. Atakughufirieni madhambi yenu, na atakuakhirisheni mpaka muda ulio wekwa. Hakika muda wa Mwenyezi Mungu utapo fika haucheleweshwi. Laiti mngejua! |