Sakhkharahā `Alayhim Sab`a Layālin Wa Thamāniyata 'Ayyāmin Ĥusūmāan Fataraá Al-Qawma Fīhā Şar`aá Ka'annahum 'A`jāzu Nakhlin Khāwiyahin (Al-Ĥāqqah: 7). |
7. Alio wapelekea masiku saba, na siku nane, mfululizo bila ya kusita. Utaona watu wamepinduka kama kwamba ni magongo ya mitende yalio wazi ndani. |