Yā 'Ayyuhā Al-Ladhīna 'Āamanū Kūnw 'Anşāra Allāhi Kamā Qāla `Īsaá Abnu Maryama Lilĥawārīyīna Man 'Anşārī 'Ilaá Allāhi Qāla Al-Ĥawārīyūna Naĥnu 'Anşāru Allāhi Fa'āamanat Ţā'ifatun Min Banī 'Isrā'īla Wa Kafarat Ţā'ifatun Fa'ayyadnā Al-Ladhīna 'Āamanū `Alaá `Adūwihim Fa'aşbaĥū Žāhirīna (Aş-Şaf: 14). |
14. Enyi mlio amini! Kuweni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu, kama alivyo sema Isa bin Mariamu kuwaambia wanafunzi wake: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wakasema wanafunzi: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu! Basi taifa moja la Wana wa Israili liliamini, na taifa jingine lilikufuru. Basi tukawaunga mkono walio amini dhidi ya maadui zao, wakawa wenye kushinda. * |