Wa Man 'Ažlamu Mimmani Aftaraá `Alaá Allāhi Al-Kadhiba Wa Huwa Yud`aá 'Ilaá Al-'Islāmi Wa Allāhu Lā Yahdī Al-Qawma Až-Žālimīna (Aş-Şaf: 7). |
7. Na ni nani mwenye kudhulumu zaidi kuliko yule anaye mzulia Mwenyezi Mungu uwongo, naye anaitwa kwenye Uislamu? Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu. |