Wa 'Idh Qāla Mūsaá Liqawmihi Yā Qawmi Lima Tu'udhūnanī Wa Qad Ta`lamūna 'Annī Rasūlu Allāhi 'Ilaykum Falammā Zāghū 'Azāgha Allāhu Qulūbahum Wa Allāhu Lā Yahdī Al-Qawma Al-Fāsiqīna (Aş-Şaf: 5). |
5. Na Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kwa nini mnaniudhi, nanyi mnajua kuwa hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu niliye tumwa kwenu? Walipo potoka, Mwenyezi Mungu aliziachia nyoyo zao zipotoke. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wapotovu. |