Wa 'In Fātakum Shay'un Min 'Azwājikum 'Ilaá Al-Kuffāri Fa`āqabtum Fa'ātū Al-Ladhīna Dhahabat 'Azwājuhum Mithla Mā 'Anfaqū Wa Attaqū Allāha Al-Ladhī 'Antum Bihi Mu'uminūna (Al-Mumtaĥanah: 11). |
11. Na akitoroka yeyote katika wake zenu kwenda kwa makafiri, tena ikatokea mkapata ngawira, basi wapeni walio kimbiwa na wake zao kiasi cha mahari waliyo yatoa. Na mcheni Mwenyezi Mungu ambaye mnamuamini. |