Lan Tanfa`akum 'Arĥāmukum Wa Lā 'Awlādukum Yawma Al-Qiyāmati Yafşilu Baynakum Wa Allāhu Bimā Ta`malūna Başīrun (Al-Mumtaĥanah: 3). |
3. Hawatakufaeni jamaa zenu, wala watoto wenu Siku ya Kiyama. Mwenyezi Mungu atapambanua baina yenu, na Mwenyezi Mungu anayaona mnayo yatenda. |