Yā 'Ayyuhā Al-Ladhīna 'Āmanū Attaqū Allāha Wa Ltanžur Nafsun Mā Qaddamat Lighadin Wa Attaqū Allāha 'Inna Allāha Khabīrun Bimā Ta`malūna (Al-Ĥashr: 18). |
18. Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na kila nafsi iangalie inayo yatanguliza kwa ajili ya Kesho. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari ya mnayo yatenda. |