Mā Qaţa`tum Min Līnatin 'Aw Taraktumūhā Qā'imatan `Alaá 'Uşūlihā Fabi'idhni Allāhi Wa Liyukhziya Al-Fāsiqīna (Al-Ĥashr: 5). |
5. Mtende wowote mlio ukata au mlio uacha unasimama vile vile juu ya mashina yake, basi ni kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na kwa kuwahizi wapotovu. |