Wa Lawlā 'An Kataba Allāhu `Alayhim Al-Jalā'a La`adhdhabahum Fī Ad-Dunyā Wa Lahum Fī Al-'Ākhirati `Adhābu An-Nāri (Al-Ĥashr: 3). |
3. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu asingeli waandikia kutoka, angeli waadhibu katika dunia. Na katika Akhera watapata adhabu ya Moto. |