Yawma Yab`athuhum Allāhu Jamī`āan Fayaĥlifūna Lahu Kamā Yaĥlifūna Lakum Wa Yaĥsabūna 'Annahum `Alaá Shay'in 'Alā 'Innahum Hum Al-Kādhibūna (Al-Mujādilh: 18).

<< Previous Sūrah    <Previous Ayah    Next Ayah >    Next Sūrah >>    Recite again    
18. Siku atakayo wafufua Mwenyezi Mungu wote, wamuwapie kama wanavyo kuwapieni nyinyi. Na watadhani kuwa wamepata kitu! Kwa hakika hao ndio waongo.