Li'allā Ya`lama 'Ahlu Al-Kitābi 'Allā Yaqdirūna `Alaá Shay'in Min Fađli Allāhi Wa 'Anna Al-Fađla Biyadi Allāhi Yu'utīhi Man Yashā'u Wa Allāhu Dhū Al-Fađli Al-`Ažīmi (Al-Ĥadīd: 29). |
29. Ili watu wa Kitabu wajue kwamba wao hawana uweza wowote juu ya fadhila za Mwenyezi Mungu. Na fadhila zote zimo mikononi mwa Mwenyezi Mungu. Humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye fadhila kuu. * |