Likaylā Ta'saw `Alaá Mā Fātakum Wa Lā Tafraĥū Bimā 'Ātākum Wa Allāhu Lā Yuĥibbu Kulla Mukhtālin Fakhūrin (Al-Ĥadīd: 23). |
23. Ili msihuzunike kwa kilicho kupoteeni, wala msijitape kwa alicho kupeni. Na Mwenyezi Mungu hampendi kila anaye jivuna akajifakhirisha. |