Mā 'Aşāba Min Muşībatin Fī Al-'Arđi Wa Lā Fī 'Anfusikum 'Illā Fī Kitābin Min Qabli 'An Nabra'ahā 'Inna Dhālika `Alaá Allāhi Yasīrun (Al-Ĥadīd: 22). |
22. Hautokei msiba katika ardhi wala katika nafsi zenu ila umekwisha andikwa katika Kitabu kabla hatujauumba. Hakika hayo kwa Mwenyezi Mungu ni mepesi. |