Fālyawma Lā Yu'ukhadhu Minkum Fidyatun Wa Lā Mina Al-Ladhīna Kafarū Ma'wākumu An-Nāru Hiya Mawlākum Wa Bi'sa Al-Maşīru (Al-Ĥadīd: 15). |
15. Basi leo haitapokelewa kwenu fidia, wala kwa wale walio kufuru. Makaazi yenu ni Motoni, ndio bora kwenu; na ni marejeo maovu yalioje! |