Yamunnūna `Alayka 'An 'Aslamū Qul Lā Tamunnū `Alayya 'Islāmakum Bal Allāhu Yamunnu `Alaykum 'An Hadākum Lil'īmāni 'In Kuntum Şādiqīna (Al-Ĥujurāt: 17). |
17. Wanakusimbulia kuwa wamesilimu! Sema: Msinisimbulie kwa kusilimu kwenu. Bali Mwenyezi Mungu ndiye aliye kufanyieni hisani kwa kukuongoeni kwenye Imani, ikiwa nyinyi ni wakweli. |