'Inna Al-Ladhīna Yaghuđđūna 'Aşwātahum `Inda Rasūli Allāhi 'Ūlā'ika Al-Ladhīna Amtaĥana Allāhu Qulūbahum Lilttaqwaá Lahum Maghfiratun Wa 'Ajrun `Ažīmun (Al-Ĥujurāt: 3). |
3. Kwa hakika wanao teremsha sauti zao mbele ya Mtume wa Mwenyezi Mungu, hao ndio Mwenyezi Mungu amezisafisha nyoyo zao kwa uchamngu. Hao watakuwa na maghfira na ujira mkubwa. |