Yā 'Ayyuhā Al-Ladhīna 'Āmanū Lā Tuqaddimū Bayna Yaday Allāhi Wa Rasūlihi Wa Attaqū Allāha 'Inna Allāha Samī`un `Alīmun (Al-Ĥujurāt: 1). |
1. Enyi mlio amini! Msitangulie mbele ya Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua. |