'Inna Al-Ladhīna Yubāyi`ūnaka 'Innamā Yubāyi`ūna Allāha Yadu Allāhi Fawqa 'Aydīhim Faman Nakatha Fa'innamā Yankuthu `Alaá Nafsihi Wa Man 'Awfaá Bimā `Āhada `Alayhu Allāha Fasayu'utīhi 'Ajrāan `Ažīmāan (Al-Fatĥ: 10). |
10. Bila ya shaka wanao fungamana nawe, kwa hakika wanafungamana na Mwenyezi Mungu. Mkono wa Mwenyezi Mungu uko juu ya mikono yao. Basi avunjaye ahadi hizi anavunja kwa kuidhuru nafsi yake; na anaye tekeleza aliyo muahadi Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu atamlipa ujira mkubwa. |