Qālū Yā Qawmanā 'Innā Sami`nā Kitābāan 'Unzila Min Ba`di Mūsaá Muşaddiqāan Limā Bayna Yadayhi Yahdī 'Ilaá Al-Ĥaqqi Wa 'Ilaá Ţarīqin Mustaqīmin (Al-'Aĥqāf: 30). |
30. Wakasema: Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka. |