Tudammiru Kulla Shay'in Bi'amri Rabbihā Fa'aşbaĥū Lā Yuraá 'Illā Masākinuhum Kadhālika Najzī Al-Qawma Al-Mujrimīna (Al-'Aĥqāf: 25). |
25. Unaangamiza kila kitu kwa amri ya Mola wake Mlezi. Wakawa hawaonekani ila nyumba zao tu. Hivyo ndivyo tuwalipavyo wakosefu! |