Wa Man 'Ađallu Mimman Yad`ū Min Dūni Allāhi Man Lā Yastajību Lahu 'Ilaá Yawmi Al-Qiyāmati Wa Hum `An Du`ā'ihim Ghāfilūna (Al-'Aĥqāf: 5). |
5. Na nani mpotofu mkubwa kuliko hao wanao waomba, badala ya Mwenyezi Mungu, ambao hawatawaitikia mpaka Siku ya Kiyama, na wala hawatambui maombi yao. |