Wa Taraá Kulla 'Ummatin Jāthiyatan Kullu 'Ummatin Tud`aá 'Ilaá Kitābihā Al-Yawma Tujzawna Mā Kuntum Ta`malūna (Al-Jāthiyah: 28). |
28. Na utauona kila umma umepiga magoti, na kila umma utaitwa kwenda soma kitabu chake: Leo mtalipwa mliyo kuwa mkiyatenda. |