Quli Allāhu Yuĥyīkum Thumma Yumītukum Thumma Yajma`ukum 'Ilaá Yawmi Al-Qiyāmati Lā Rayba Fīhi Wa Lakinna 'Akthara An-Nāsi Lā Ya`lamūna (Al-Jāthiyah: 26). |
26. Sema: Mwenyezi Mungu anakuhuisheni, kisha anakufisheni, kisha anakukusanyeni Siku ya Kiyama isiyo na shaka. Lakini watu wengi hawajui. |