'Afara'ayta Man Attakhadha 'Ilahahu Hawāhu Wa 'Ađallahu Allāhu `Alaá `Ilmin Wa Khatama `Alaá Sam`ihi Wa Qalbihi Wa Ja`ala `Alaá Başarihi Ghishāwatan Faman Yahdīhi Min Ba`di Allāhi 'Afalā Tadhakkarūna (Al-Jāthiyah: 23). |
23. Je! Umemwona aliye fanya matamanio yake kuwa ndiye mungu wake, na Mwenyezi Mungu akamwacha apotee pamoja na kuwa ana ujuzi, na akapiga muhuri juu ya masikio yake, na moyo wake, na akambandika vitanga machoni mwake? Basi nani atamwongoa huyo baada ya Mwenyezi Mungu? Hamkumbuki? |