'In Yasha' Yuskin Ar-Rīĥa Fayažlalna Rawākida `Alaá Žahrihi 'Inna Fī Dhālika L'āyātin Likulli Şabbārin Shakūrin (Ash-Shūraá: 33). |
33. Akitaka, huutuliza upepo navyo hivyo vyombo husimama tutwe juu ya bahari. Hakika katika hayo zipo Ishara kwa kila mwenye kusubiri akashukuru. |