Wa 'Ammā Thamūdu Fahadaynāhum Fāstaĥabbū Al-`Amaá `Alaá Al-Hudaá Fa'akhadhat/hum Şā`iqatu Al-`Adhābi Al-Hūni Bimā Kānū Yaksibūna (Fuşşilat: 17). |
17. Na ama Thamudi tuliwaongoza, lakini walipenda upofu kuliko uwongofu. Basi uliwachukua moto wa adhabu ya kuwafedhehi kwa sababu ya yale waliyo kuwa wakiyachuma. |