Min Dūni Allāhi Qālū Đallū `Annā Bal Lam Nakun Nad`ū Min Qablu Shay'āan Kadhālika Yuđillu Allāhu Al-Kāfirīna (Ghāfir: 74). |
74. Badala ya Mwenyezi Mungu? Watasema: Wametupotea, bali tangu zamani hatukuwa tukiomba kitu! Hivyo ndivyo Mwenyezi Mungu anawaachia makafiri wapotelee mbali. |