Wa Mā Yastawī Al-'A`maá Wa Al-Başīru Wa Al-Ladhīna 'Āmanū Wa `Amilū Aş-Şāliĥāti Wa Lā Al-Musī'u Qalīlāan Mā Tatadhakkarūna (Ghāfir: 58). |
58. Na kipofu na mwenye kuona hawalingani; na walio amini na watendao mema hawalingani na muovu. Ni machache mnayo yakumbuka. |