'Inna Al-Ladhīna Yujādilūna Fī 'Āyāti Allāhi Bighayri Sulţānin 'Atāhum 'In Fī Şudūrihim 'Illā Kibrun Mā Hum Bibālighīhi Fāsta`idh Billāhi 'Innahu Huwa As-Samī`u Al-Başīru (Ghāfir: 56). |
56. Hakika hao wanao bishana katika Ishara za Mwenyezi Mungu bila ya uthibitisho wowote uliyo wajia, hawana vifuani mwao ila kutaka ukubwa tu, na wala huo hawaufikilii. Basi jikinge kwa Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia, Mwenye kuona. |