Qālū 'Awa Lam Taku Ta'tīkum Rusulukum Bil-Bayyināti Qālū Balaá Qālū Fād`ū Wa Mā Du`ā'u Al-Kāfirīna 'Illā Fī Đalālin (Ghāfir: 50). |
50. Nao watasema: Je! Hawakuwa wakikufikieni Mitume wenu kwa hoja zilio wazi? Watasema: Kwani? Watasema: Basi ombeni! Na maombi ya makafiri hayawi ila ni kupotea bure. |