Wa Laqad Jā'akum Yūsufu Min Qablu Bil-Bayyināti Famā Ziltum Fī Shakkin Mimmā Jā'akum Bihi Ĥattaá 'Idhā Halaka Qultum Lan Yab`atha Allāhu Min Ba`dihi Rasūlāan Kadhālika Yuđillu Allāhu Man Huwa Musrifun Murtābun (Ghāfir: 34). |
34. Na alikwisha wajieni Yusuf zamani kwa dalili zilizo wazi, lakini nyinyi mliendelea katika shaka kwa yale aliyo kuleteeni; mpaka alipo kufa mkasema: Mwenyezi Mungu hataleta kabisa Mtume baada yake. Kama hivyo Mwenyezi Mungu humwacha kupotea anaye pindukia mipaka katika maasi anaye jitia shaka. |