Wa 'Andhirhum Yawma Al-'Āzifati 'Idhi Al-Qulūbu Ladaá Al-Ĥanājiri Kāžimīna Mā Lilžžālimīna Min Ĥamīmin Wa Lā Shafī`in Yuţā`u (Ghāfir: 18). |
18. Na waonye siku inayo kurubia, wakati nyoyo zitakapo fika kooni, nao wamejaa huzuni. Madhaalimu hawatakuwa na rafiki, wala mwombezi wa kuitikiwa. |