Yawma Hum Bārizūna Lā Yakhfaá `Alaá Allāhi Minhum Shay'un Liman Al-Mulku Al-Yawma Lillāhi Al-Wāĥidi Al-Qahhāri (Ghāfir: 16). |
16. Siku watakayo dhihiri wao. Hapana kitacho fichikana chochote chao kwa Mwenyezi Mungu. Ufalme ni wa nani leo? Ni wa Mwenyezi Mungu Mmoja Mtenda nguvu. |