Wa Sīqa Al-Ladhīna Attaqaw Rabbahum 'Ilaá Al-Jannati Zumarāan Ĥattaá 'Idhā Jā'ūhā Wa Futiĥat 'Abwābuhā Wa Qāla Lahum Khazanatuhā Salāmun `Alaykum Ţibtum Fādkhulūhā Khālidīna (Az-Zumar: 73). |
73. Na walio mcha Mola wao Mlezi wataongozwa kuendea Peponi kwa makundi, mpaka watakapo fikilia, nayo milango yake imekwisha funguliwa. Walinzi wake watawaambia: Salaam Alaikum, Amani iwe juu yenu! Mmet'ahirika. Basi ingieni humu mkae milele. |