Wa Nufikha Fī Aş-Şūri Faşa`iqa Man Fī As-Samāwāti Wa Man Fī Al-'Arđi 'Illā Man Shā'a Allāhu Thumma Nufikha Fīhi 'Ukhraá Fa'idhā Hum Qiyāmun Yanžurūna (Az-Zumar: 68). |
68. Na litapulizwa barugumu, wazimie waliomo mbinguni na waliomo katika ardhi, isipo kuwa aliye mtaka Mwenyezi Mungu. Kisha litapulizwa mara nyengine. Hapo watainuka wawe wanangojea. |