Wa Yawma Al-Qiyāmati Taraá Al-Ladhīna Kadhabū `Alaá Allāhi Wujūhuhum Muswaddatun 'Alaysa Fī Jahannama Mathwan Lilmutakabbirīna (Az-Zumar: 60). |
60. Na Siku ya Kiyama utawaona walio msingizia uwongo Mwenyezi Mungu nyuso zao zimesawijika. Je! Si katika Jahannamu makaazi ya wanao takabari? |