Fa'adhāqahum Allāhu Al-Khizya Fī Al-Ĥayāati Ad-Dunyā Wa La`adhābu Al-'Ākhirati 'Akbaru Law Kānū Ya`lamūna (Az-Zumar: 26). |
26. Basi Mwenyezi Mungu akawaonjesha hizaya katika uhai wa duniani. Na bila ya shaka adhabu ya Akhera ni kubwa zaidi; laiti wangeli jua! |