Law 'Arāda Allāhu 'An Yattakhidha Waladāan Lāşţafaá Mimmā Yakhluqu Mā Yashā'u Subĥānahu Huwa Allāhu Al-Wāĥidu Al-Qahhāru (Az-Zumar: 4). |
4. Lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba. Subhanahu, Ametakasika na hayo! Yeye ni Mwenyezi Mungu Mmoja, Mtenda atakalo. |