'A'uunzila `Alayhi Adh-Dhikru Min Bayninā Bal Hum Fī Shakkin Min Dhikrī Bal Lammā Yadhūqū `Adhābi (Şād: 8). |
8. Ati yeye tu ndiye aliye teremshiwa mawaidha peke yake katika sisi? Lakini hao wana shaka na mawaidha yangu, bali hawajaionja adhabu yangu. |