Falammā Balagha Ma`ahu As-Sa`ya Qāla Yā Bunayya 'Innī 'Araá Fī Al-Manāmi 'Annī 'Adhbaĥuka Fānžur Mādhā Taraá Qāla Yā 'Abati Af`al Mā Tu'umaru Satajidunī 'In Shā'a Allāhu Mina Aş-Şābirīna (Aş-Şāffāt: 102). |
| 102. Basi alipo fika makamo ya kwenda na kurudi pamoja naye, alimwambia: Ewe mwanangu! Hakika mimi nimeona usingizini kuwa ninakuchinja. Basi angalia wewe, waonaje? Akasema: Ewe baba yangu! Tenda unavyo amrishwa, utanikuta mimi, Inshallah, katika wanao subiri. |