Yuşliĥ Lakum 'A`mālakum Wa Yaghfir Lakum Dhunūbakum Wa Man Yuţi` Allāha Wa Rasūlahu Faqad Fāza Fawzāan `Ažīmāan (Al-'Aĥzāb: 71). |
| 71. Apate kukutengenezeeni vitendo vyenu na akusameheni madhambi yenu. Na anaye mt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake, bila ya shaka amefanikiwa mafanikio makubwa. |